Hivi shekh Ponda anwakilisha kundi gani la waislamu?

joline365

Member
Sep 23, 2012
26
8
Habari wana jf. Nimekuwa napata shida kumwelewa huyu anayeitwa sheikh ponda, hivi anawakilisha kundi gani la waislamu? Amekuwa akiendesha mapambano dhidi ya BAKWATA, SERIKALI NA SASA WAKRISTO, Yeye ni alqida, al shabab, boko haram au ni nani hasa?. Na kwa nini anaendesha harakati zake bila vyombo vya dola kumchukulia hatua? Naomba kujuzwa kwa wanaomwelewa huyu jamaa.
 
Anawakilisha genge la wahuni tu, wasio na tumaini kwenye maisha yao. Hakuna chembe ya Uislamu kwenye hizo harakati zao. Uislamu wa kweli ni AMANI na USTAHIMILIVU.
 
kabla ya kujiuliza hayo maswali yako, omba wadau tupate angalau profile ya elimu yake kwanza
 
Huyu jamaa ajiangalie sana"mark my word" simwombei mabaya ila ajue Mungu wetu aliyetuumba si wa vurugu wala visasi kwani angesha angamiza dunia siku nyingi.Mungu huwa anawaacha watu kama yeye kuishi kwa sababu maalum na kwa wakati maalum .Pia ajue uhai,amani na uhuru wa wanadamu wengine ni wadhamani kuliko hata wa kwake na hicho anachokitetea.

Matayo 10:16 "Sasa, mimi nawatuma ninyi kama kondoo kati ya mbwa mwitu. Muwe na busara kama nyoka, na wapole kama njiwa"
Matayo 5:5 "Heri walio wapole, maana watairithi nchi"
 
ponda yuko sahihi, tatizo mnamshambulia yeye kama yeye badala ya hoja zake. zisikilizeni hoja zake na wekeni ushabiki na upenzi pembeni mtamwelewa tu. bakwata ni taasisi ya ccm na si waislam. na muasisi wake ni yule yule muasisi wa ccm mwl nyerere.
na waislam wameichoka kama cuf na chadema walivyoichoka ccm.
 
Ukichunguza kilichotokea Mbagala hivi karibuni ambapo makanisa yalichomwa moto na wahuni waliojiita waislam, unagundua kuwa kumbe kilichosababisha vurugu si kitendo cha mtoto kunajisi Korani bali chuki, ujinga, husuda na kukata tamaa. Kilichotokea Mbagala ambapo watoto wajinga wawili walibishania juu nguvu za imani zao kingetokea Masaki wala hakuna ambaye angepoteza muda.

Hata mahuburi ya kijinga yanayofanywa na watu kama Ponda Issa Ponda huwa hayapenyi Masaki. Mikocheni, Kunduchi na maeneo mengi ya wenye nazo. Hivyo tatizo kubwa tulilokuwa nalo ni kuwa na watu wengi wajinga na maskini waliokata tamaa kiasi cha kuweza kutumia kisingizio chochote kuonyesha hasira zao. Hii huitwa venting kitaalamu ambapo mwenye hasira hutafutia sehemu ya kuzitolea au kuzitapika.

Wenye kusoma na kufahamu dini watanikosoa. Hata kama hicho kilichotokea kingetokea wakati wa mtume Mohammad asingeamuru upuuzi kama ulioshuhudiwa Mbagala. Nani mara hii kasahau jirani yake Mohammad aliyekuwa akijisaidia njiani mwake ili kumuudhi kila kukicha hadi siku alipougua akashindwa kufanya hivyo na Mohammad akamwombea na akapona na kusilimu? Tuhitimishe kwa kusema wazi kuwa vurugu za Mbagala zilivikwa udini lakini ukweli ni vurugu za kijinga na kimaskini.
 
anawakilisha Uhalisia wa Dini ya Kiislamu Vurugu Wivu na Mauaji ya Upanga kwa wasioUamini ili Alah akampatie Mabikira 72 huko Kuzimu kwao
 
Ukichunguza kilichotokea Mbagala hivi karibuni ambapo makanisa yalichomwa moto na wahuni waliojiita waislam, unagundua kuwa kumbe kilichosababisha vurugu si kitendo cha mtoto kunajisi Korani bali chuki, ujinga, husuda na kukata tamaa. Kilichotokea Mbagala ambapo watoto wajinga wawili walibishania juu nguvu za imani zao kingetokea Masaki wala hakuna ambaye angepoteza muda.

Hata mahuburi ya kijinga yanayofanywa na watu kama Ponda Issa Ponda huwa hayapenyi Masaki. Mikocheni, Kunduchi na maeneo mengi ya wenye nazo. Hivyo tatizo kubwa tulilokuwa nalo ni kuwa na watu wengi wajinga na maskini waliokata tamaa kiasi cha kuweza kutumia kisingizio chochote kuonyesha hasira zao. Hii huitwa venting kitaalamu ambapo mwenye hasira hutafutia sehemu ya kuzitolea au kuzitapika.

Wenye kusoma na kufahamu dini watanikosoa. Hata kama hicho kilichotokea kingetokea wakati wa mtume Mohammad asingeamuru upuuzi kama ulioshuhudiwa Mbagala. Nani mara hii kasahau jirani yake Mohammad aliyekuwa akijisaidia njiani mwake ili kumuudhi kila kukicha hadi siku alipougua akashindwa kufanya hivyo na Mohammad akamwombea na akapona na kusilimu? Tuhitimishe kwa kusema wazi kuwa vurugu za Mbagala zilivikwa udini lakini ukweli ni vurugu za kijinga na kimaskini.
mkuu unaonekana uko vizuri.
 
Mbagala Sheikh Ponda hakuwepo, Bali alikuwepo Chang'ombe kukomboa kiwanja kilichotapeliwa na BAKWATA + MANJI
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom