Search results

  1. Luno G

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Bila tahadhari kiaje sijaelewa
  2. Luno G

    Zitto Kabwe and ACT Wazalendo: Entangled in the Web of Conflict of Interest?

    Zitto amekuwa Lipumba mapema sana
  3. Luno G

    Askari anayedaiwa kutembea na kete za bangi kubambikia watu

    Akili za polisi wanazijua wenyewe
  4. Luno G

    Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

    Embu weka hapa hiyo taarifa ya uchunguzi wako tuijadili hapa kwanza
  5. Luno G

    Hivi yale magawio ya mashirika kwa Serikali kila mwaka yameisha wapi na zinaendanwapi kwa sasa?

    The teh teh yule mzee alipendwa na wavivu wa kufikiri
  6. Luno G

    Maajabu ya Mfupa wa Nguruwe(mdudu)

    Wachawi wa pwani tena wa miaka hiyo maana huko kwetu bara wachawi wanafuga na kula nguruwe
  7. Luno G

    Nani kaweka Bango lenye picha ya Mchungaji Kimaro hapo Morocco linalosomeka "Na Iwe Nuru Yohana:15:12"?

    Nchi ina mambo mengi hii hivi saga la huyu mzee ndio lishapita
  8. Luno G

    Kilosa: Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka akutana na Makatibu Tarafa pamoja na Maafisa Watendaji

    Sawa kiongozi maboss zako bila shaka wamekuona pasipo shaka yoyote ile watakutafutia mkoa
  9. Luno G

    Bashe: Mazao ya Mkulima sio mali ya Umma, Waachwe wauze popote

    Hii kauli hii aombe Mungu haswaa ili mazingira na wakati visije vikamlazimu siku moja akala matapishi
  10. Luno G

    Tundu Lissu ndiye anayefaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Tundu Lisssu kwa Chadema ni kama Magufuli kwa CCM wote hawafai kushika nafasi za juu maamuzi yao yanapaswa kupoozwa wakati mwengine
  11. Luno G

    Lyatonga Mrema ni shujaa wa taifa. Alifanya kazi kubwa kudhibiti misingi ya rushwa

    Acha kumchuria Mzee wetu Lyatonga inji(nchi) hii bado inamuhitaji
  12. Luno G

    WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    Nadhani ni baadhi mimi kwangu bado haijakaa sawa
  13. Luno G

    Hivi ile kampeni ya kizalendo ya Kuibeba TTCL imefikia wapi?

    Jamani ukiona jambo halifanyiki na lilikuwa linafanyika sana enzi za mwendazake basi jua kwasasa Rais ni Samia Suluhu Hassan
  14. Luno G

    WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    Aisee internet kiboko dunia imesimama kidogo maisha bila WhatsApp fikiria unamtumia mtu msg za kawaida na ni ishu ya haraka ila haujui kama yupo online au lah... Maisha bila WhatsApp na ig ni ukale wa kupitiliza fikiria biashara ngap zitayumba... Ila mwisho wa siku liwe funzo tulisahau websites...
  15. Luno G

    FT: Kagera Sugar Vs Yanga(0-1) | Ligi kuu Bara | Kaitaba

    Wafuasi wa simba bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom