Search results

  1. fishengoma62

    Wanaume kulala fofofo mara tu baada ya tendo la ndoa

    Hao wanaume wengi umewaonaje? umefanya utafiti?
  2. fishengoma62

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Hesabu za algebra za darasa la tano. Nitakupa njia tu. majibu yametolewa umri wa idd = x, umri wa asha = 3x; miaka 5 iliyopita : (3x-5)+(x-5)=14 kwa hivyo x=6 umri wa baba= p, umri wa sadiki = 1/4 p; miaka 3 ijayo : 3(1/4p+3) = (p+3) kwa hivyo p=6 umri wa nuru = k, umri wa tuli = k-6...
  3. fishengoma62

    Ushuhuda: Freeman Mbowe ni kiongozi dhaifu

    Kilicho cha Kaizari mpe kaizari na cha Mungu mpe Mungu. Ni kweli unayoyasema na ni sahihi kwa upeo wako wa kuyachambua na kutayafakari mambo, lakini HAYAKUHUSU!!! Viongozi wapo wengi na Vyama vipo vingi jiunge na chama ukipendacho. Ukimya ni dawa tosha!
  4. fishengoma62

    Hivi padri baptiste mapunda umegeuka kuwa mwanasiasa?

    Padri Mapunda endelea kuwachunga kondoo zako wasije wakapotea njia na kuelekea kusiko chakula. Nakupongeza sana. Hakuna sheria inayokuzuia usiwachunge kondoo wako. unatoa elimu dunia kwa kondoo zako ili zitambue uzuri na ubaya wa jambo husika. usipotoa elimu ni nani atawaelimisha kondoo zako...
  5. fishengoma62

    Kama Mwalimu Julius Kambarage Nyerere angerudi leo

    safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!
  6. fishengoma62

    Mwanasheria Mkuu wa Tanzania ajiuzulu

    Jaji Werema alikuwa mtumishi aliyeongozwa na uaminifu na uadilifu katika utumishi wake :majani7::majani7:Kama hii ni sawa watanzania wamepiga hatua sana karne hii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  7. fishengoma62

    Anna Tibaijuka umewaponza wenzako nimeamini Mwanamke siyo mtu wa kupiga nae deal

    mhusika kujitetea kabla hajaulizwa sio kosa, kosa ni fedha za UMMA kupokelewa na mtu mmoja tu!!!!!!!!!!!!1
  8. fishengoma62

    CCM Hali mbaya, Janja yake Yabainika !

    Kurudi bungeni kujadili rasimu ya tume ya warioba au rasimu ya CCM? Nini chanzo cha ukawa kutoka bungeni? na je, chanzo hicho kimetafutiwa mwarobaini? serikali mbili zipo kwenye rasimu ipi?
  9. fishengoma62

    Kupendwa

    all animals are equal but some are more equal than others! shame upon you, evil!
  10. fishengoma62

    Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

    hana 'mazoea' na serikali tatu!
  11. fishengoma62

    Zitto ajilipua: Asema wapinzani wakishika dola raia hawatapona

    amejilipua kwa kutamka ' wapinzani wakichukua nchi....' maana yake yeye sio mpinzani, yeye yuko CCM na tagombea Urais kwa tiketi ya CCM
  12. fishengoma62

    Wabunge 50 Tanganyika 20 Zanzibar inakuwaje mgao huu??

    Warioba kafanya sawa ila uwiano ungeendana na idadi ya watu wanaowakilishwa na wabunge! 60 : 10
  13. fishengoma62

    Zitto Kabwe Adai kwa Kiapo Hana Majina ya Wenye Akaunti Uswisi - AG

    ZZK alijiuliza mara ya pili kuwataja au kutowataja! Ina maana ZZK ana siri kuliko serikali? serikali iwatafute hao na wenye fedha nje kwa kutumia njia aliyotumia ZZK na iwataje ikiona inafaa! isaini mkataba wa kimataifa wa kubadilishana taarifa za kibenki.
  14. fishengoma62

    MTIZAMO: Namuona Mh. William Lukuvi akiwa Waziri Mkuu Mpya wa Tanzania 2015...

    'tukiwataja tu ....... hakuna mbunge atakayesalimika humu'!!!! usitaje uozo ili uozo huo uendelee kimya kimya hii ni sawa kwa kuzingatia kuwa mficha uchi hanaga mtoto??
  15. fishengoma62

    Kusitishwa Operation Ujangili-Bunge limetumika vibaya

    Hoja imeungwa mkono! tuna hoja ya kuhairisha bunge mambo mengine ......................... bidae
  16. fishengoma62

    Mabere Marando: Wawekezaji wamepewa fedha zetu

    Gesi na mafuta ni mali ya watanzania na ndiyo MTAJI / FEDHA zao! Ukiruhusu wageni waje kuwekeza ukumbuke kuwa nchi / watanzania wana mali yao. Hawana budi kuingia ubia na mwenye uwezo wa kifedha. una fedha nina mali gesi / mafuta! sio mali kauli!!!!
  17. fishengoma62

    Nimempenda kijana mmoja wa Kihaya

    unajiuliza maswali na kujijibu ww mwenyewe??????????? ukisubiri uambiwe unapendwa na usiyempenda, utapata koroma! jaribu bahati yako!
Back
Top Bottom