Search results

  1. The Hurricane

    Biashara ya dhahabu Msumbiji

    Habari ya Jumapili wakuu...naulizia kama kuna member anaejua upatikanaji wa dhahabu kule msumbiji maana kuna mdau alinambia kuna watanzania wengi kule na pia kodi zao sio kubwa sana
  2. The Hurricane

    Visa ya Morroco

    Kwema wakuu najaribu kuapply visa ya Morroco nna safari mwezi huu wa nne najaribu na travisa sioni option ya Tz ni kwa US residence tu naona..Msaada wakuu
  3. The Hurricane

    Car4Sale Nauza gari Honda Cr-v

    Make. Honda Model. Cr-v Body Type. Station Wagon Fuel. Petrol Engine. 2200 Price. 10m. Negotiable 0787110519
  4. The Hurricane

    Russian Roulette

    Wakuu kwema..nmekuwa na interest ya kuujua huu mchezo kama historia yake, kwanini uitwe Russian roulette na namna ya kubet maana kwa nlivouelewa kidogo ni lethal ...msaada kwa wenyewe kuujua kiundani
  5. The Hurricane

    Fujitsu life book t2020

    msaada wakuu hivi laptop Za Fujitsu lifebook zenye pen calibration huwezi kutumia kidole kama ikitokea pen imepotea
  6. The Hurricane

    msaada wakuu

    naomba mnisaidie.,nna tatizo la fizi kuuma nikila nyama inaweza kunichukua hata siku mbili nifanyaje maana mpaka nafkiria kuacha kula nyama
Back
Top Bottom