Search results

  1. N

    Mume wangu anatafuta kazi

    usikate tamaa haraka watu wengine tulisota tangu mwaka 2006 mpaka kupata kazi mwaka 2012 wewe mume wako juzi tu 2011 unaanza kusikitika, tulia msitake maendeleo ya haraka na asikae home tu azunguke kutafuta job na connection zingine. bado saaana akomaee na wewe wala usimlaumu wala kuona muda...
  2. N

    Uagazaji wa magari online kwa anayejua

    Dear Slab. nikisema laki tatu hiyo ni agency fee tu, tena ni negotiation inaweza kuwa hata lakini mbili, ila kuna gharama nyingine nyingi zaidi ya laki nane
  3. N

    Uagazaji wa magari online kwa anayejua

    Mkuu habari za kazi, wachangiaji wengine wameshachangia mengi na mimi nataka kuchangia pale ambapo hapajajitosheleza, ni vizuri ukanunua gari mwenyewe malipo unalipia bank na baada ya kufanya negotiation lakini kumbuka gari lako walifanyie inspection na wakupatie inspection certificate, Pili...
  4. N

    Daah Ajira ngumu aisee!

    kaka wewe ni kama mimi lakini unajua nilifanyajeeeeeeee? rudi kijijini kaweke mambo sawa kuna mambo hayajaa kaa vizuri kwako, sali sanaaaaaaaaaaaaa, na tengeneza mahusiano mazuri na mungu, Punguza chapa chapa. all the best God is greater Mimi nilisota tangu mwaka 2006 mpaka 2013 ndio nikapata...
  5. N

    Tundu Lissu akamatwe na kufunguliwa mashtaka

    Hii kamata kamata ni kukurupuka, eti wamekamata alshabab porini wana visu 3, unga kilo 50 wako 11, wanatv, na mikanda ya kivita. mfuko uliochorwa nanga. Swali? Kuna kosa gani hapo? kupinga kambi porini lazima uwe na visu na chakula? kweli tv porini lazima uwe na solar, eti mfuko umechorwa nanga...
  6. N

    Mambo gani yaliyokuvutia ukashawishika kumu aproach mwenzi wako

    Nilipata rumors kuwa huyo demu ni bikira, basi nikawa interested na nikaamini ni mwaminifu na ndiye niliyemuoa
  7. N

    The Ponda Syndrome:- Kama Officially Sio Taifa La Wanafiki Basi We are Almost There!!

    nimesikia baadhi ya waislam wanasema bora sheikh Ponda auwawe tu kwani ni mchochezi, cha kushangaza ni jinsi police wanavyotaka kumuua kibwege. Ila najua hachukui miezi mitatu watammaliza. siungi mkono mauaji ila nashauri police watumie mbinu nzuri za kuua sio kishamba tu, kwa mfano kama...
  8. N

    Natafuta kaka/dada

    da mkubwa nichague kuwa kaka yako i submit
  9. N

    Police jamii ni janga jingine lenye sura nyingine

    Wamepewa mamlaka kama ya police, wamechukuliwa tu mtaani na wengi ni wahuni na ni majizi, atadai yeye ni police jamii lakini nyuma ya pazia anaficha uovu, wamepewa ofisi pale karume, yaaani kituo cha police, lakini mambo wanayofanya ni wezi, wafiraji na majambazi. Wanakumbambikiza kesi...
  10. N

    Kigezo cha age limit katika ajira

    HABARI WANAJAMIIFORUM, SIKU HIZI KATIKA AJIRA ZINAZOTANGAZWA HUWA WANAWEKA KIGEZO CHA AGE LIMIT, MFANO NOT MORE 30YRS OR 35YRS. MIMI SIJUI NA NAPENDA KUJUZWA KIGEZO CHA AGE LIMIT KINASAIDIA NINI, KWA MFANO TRA WALITANGAZA KAZI KIGEZO MOJAWAPO ILIKUWA NI AGE LIMIT 30YRS, KAMA UNA VIGEZO VYOTE AGE...
  11. N

    Naomba kufunguliwa macho!

    Haina mvuto kabisa hiyoooooooooooooooooooooooooooooo, fanya wewe :target:
  12. N

    Utaratibu wa kuandika barua ya posa

    wapendwa wazazi watarajiwa! Mimi naitwa fulani bin fulani, ni mzaliwa wa pili katika familia ya Obama yenye jumla ya watoto watano, naomba kuzaliwa katika familia yenu kupitia kwa binti yenu mpendwa Pretta niliyefahamiana naye hapa Jamii forum na facebook. Naomba Kumposa Preta kufuatana na mila...
  13. N

    Walioitwa kwenye interview udom

    Kwa wale walioitwa kwenye interview university of dodoma waangalie majina yao tena kwani kunalist imetoka baadhi ya majina hayaonekani, majina yaliyotoka mwanzoni yalikuwepo lakini list ya majina ya pili hayapo, kwa mfano nafasi za warden, mwazoni walichaguliwa watahiniwa 626 na jina langu...
  14. N

    Kituko kingine Wizara ya Afya, Waziri abariki uteuzi wa AMO kuwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu

    chuki nyingine sio issue nafikiri una chuki na huyu bwana, kwani elimu ulionesha hukusema kama ana masters yoyote na mimi nilisoma naye masters. huna uhakika na history yake umesikia sana maneno ya watu
  15. N

    Huu ni uonevu

    Mimi naweza kuwapa wanawake zaidi ya watano mimba kwa siku moja, je wewe unaweza kupata mimba za wanaume wawili kwa siku moja??????? Hiyo ni nature banaaa acha hizooooo mwanaume wa ukweli hutumia dumeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na hanasii
  16. N

    Huyu ndiye mbunge wa Morogoro mjini!

    wewe nao unaropoka maneno bila ya kuwa na uhakika, hood ndio mwenye gari la kuzikia sio abood
  17. N

    Mwanaume Busy na laptop hadi hataki ku 'DO'

    dada hapo kazi ipo! Hiyo ndio mitihani ya ndoa! Unatakiwa kuwa mvumilivu au kufanya maamuzi ya kimungu. Nipm kwa msaada
  18. N

    Kuhamia kwa Mwanaume bila Ndoa hivi Jamii Itanichukuliaje!!(KUJIPASISHIA )

    weww ni full mvivu inategemeana na huyo kidume ana iq kiasi gani kugundua kama unafaa kwa future au vipi angalia vizuri sna itakula kwako
  19. N

    Pamoja na uzuri wake, Maumbile ya mpenzi wangu yananichosha mwili na roho!

    nimeshamjua huyo mbona poa tu vumilia bwana sio kilema ni maumbile tu kaka tena ndo inaleta raha sana
  20. N

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    Mkuu naomba nikujibu vizuri sana swali lako kwani mimi ni mtaalamu wa kodi na ndio tunafanya kazi za clearing and forwading, hata kama ukileta mzigo wowote bandarini lazima uwe na Agent wa kukutolea mzigo wako. kwanza unatakiwa ujue bei ya gari based on CIF (cost, insurance and Freight)...
Back
Top Bottom