Search results

  1. S

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    CCM wajiandae kukabidhi NCHI kwa amani mwakani, wakikataa tutawalazimisha.
  2. S

    CUF wamewawaekea pingamizi CHADEMA Serikali za mitaa Geita

    baada ya desember 14 2014 ndo utajua kuwa UKAWA wapo HAI
  3. S

    Hofu ya watawala: Wafufua kesi ya ugaidi, kusikilizwa leo

    CCM kwa sasa wamekamatika kila wanako gusa wanapigika :msela::msela::msela:
  4. S

    Makatibu wakuu wapya wa CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu 2015

    Hongera sana safu ya uongozi mpya CHADEMA siyo siri safu hii ni ya BIG RESULTS CDM.!
  5. S

    Imedhihiri: Tundu Lissu ni Adui Mkubwa wa CHADEMA

    Lissu ni mwiba mchungu kwako mtoa hoja na magamba wenzako! hoja yako ni nyepesi mno na laini zaidi ya maini.
  6. S

    Shinyanga: Madiwani walioasi CHADEMA warejea kundini

    Wote wanao nunuliwa na ccm watatumika kama toilet paper.
  7. S

    Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

    Akafie mbali Msaliti ambaye mawazo yake yana milikiwa na maccm! atasubir sana kuona UKAWA inaanguka!
  8. S

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    dr.Slaa
  9. S

    Mbowe awagomea polisi kushuka jukwaani Kibaha

    Tuendelee kushikamana safari ya ukomboz imejaa matumaini ya ushindi.!
  10. S

    Chadema yaiteka Ngara kwa kishindo

    jana katika viwanja vya posta kulikuwa na watu ambao hawajahi tokea katika siasa za hapa ngara! watu walikuwa wengi ni balaa na magamba kibao walirudisha kadi,kofia hadi vitambaa! hata ccm wenyewe jana walikili ngome yao imesambaratishwa rasmi.!
  11. S

    Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

    Safari yetu imekuwa ngumu na ndefu yenye vikwazo na mitego mingi sana! lakini nimengi tumeyapitia na kuyashinda. Kwa sasa IKULU Imeanza kuonekana wazi kwa CDM.Hakika safari hii ni ya ushindi japo wapo tulio wapoteza lakini malengo yatatimia! Niwakati wakuunganisha nguvu kuliko wakati mwingine...
  12. S

    Mbunge wa Ngara mh. Ntukamazina (CCM) apata aibu!

    Wanajamii nilikuwa kwenye mkutano wa mbunge wa CCM jimbo la Ngara uliofanyika katika kata ya Kabanga nakuhudhuriwa na wananchi wachache huku wengi wao wakiwa ni wazee! Baada ya jitihada kubwa ya gari la matangazo lililozunguka jana jioni kujulisha ujio wake katika kata hii,ajabu nikuwa pale...
  13. S

    Mwaka mpya mawaziri wapya hawa hapa, kutangazwa hivi karibuni

    Waacheni wafu wazikane wenyewe!
  14. S

    PICHA: mkutano funga mwaka wa mh. msigwa leo

    Safi sana kamanda ! maccm yamechanganyikiwa hayajielewi! NYEUPE yanaona NYEUSI!
  15. S

    Kuelekea 2015: Tunaomba Daftari la wapiga kura lirekebishwe!

    Kwa mjibu wakatiba kila mtanzania mwenye umri wa miaka 18 ana haki ya kupiga kura! sasa nec na serikali mfu wajidanganye kutoboresha daftari la mpiga kura waone moto wake.
  16. S

    Ngara yazizima,Kamanda Mawazo na Dr. Kabangira waisambaratisha CCM

    Kama hata NGARA inaelekea mikononi mwa CDM Masikini ccm itabaki na jimbo gan???!!!!!!!!
  17. S

    Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

    Karata pekee na ya ushindi kwa CDM nikumfukuza ZZK.Japo ataondoka na wanaomshabikia lkn CDM itajengeka mara mbili zaidi.
Back
Top Bottom