Search results

  1. W

    Makamanda nishati na madini kiboko

    Wana JF napenda kusema ya moyoni. Hivi ni kweli tulikuwa tunateseka wadanganyika kwa mgao bandia wa umeme? Mbona tangu wachukue wizara hawa jamaa hatuoni tena mgao isipokuwa kama kuna hitilafu ya mitambo au njia? Kama huu ndio ukweli, kuna haja kwenye katiba mpya tupitishe kunyongwa wahujumu...
  2. W

    Waziri Masele Awanasa Wakwepa Kodi za Madini

    Conglatulations hon. Masele. Nafurahishwa sana na utendaji kazi wako. Tungekuwa na mawaziri vijana 10 kama wewe, nchi hii ingeenda mbio. Shughulikia hao wezi wa rasilimali zetu. Bado huko arusha kuna wezi wengi sana wanaotorosha tanzanite yetu kwa kushirikiana na baadhi ya maafisa wako. Naomba...
Back
Top Bottom