Wana JF napenda kusema ya moyoni. Hivi ni kweli tulikuwa tunateseka wadanganyika kwa mgao bandia wa umeme? Mbona tangu wachukue wizara hawa jamaa hatuoni tena mgao isipokuwa kama kuna hitilafu ya mitambo au njia? Kama huu ndio ukweli, kuna haja kwenye katiba mpya tupitishe kunyongwa wahujumu uchumi kama hao. Karagabahooooooooooooo.