Search results

  1. bepari mzalendo

    Is this fifa's conspiracy against african teams?

    Mkuu Bobuk kajifunze busara kidogo., -------- ni mtu anaejibu bila kufikiria/kufanya research.. the likes of you. Nenda kaangalie vizuri mazingira ya ile penalty, Samaras aligongesha kwa makusudi mguu wake kwa beki wa Ivory coat kumhadaa refa., na refa kwa kukosa umakini/or any other reason...
  2. bepari mzalendo

    Is this fifa's conspiracy against african teams?

    Ivory coast ilipokua katika peak ilikua inapangwa katika makundi magumu sana world cup, the same happened to Ghana ambayo nayo imekuwa ikipangiwa makundi magumu sana tangia imekua katika peak., Angalia kilichotokea jana, controversial penalty imewatoa Ivory coast world cup It seems like Fifa...
  3. bepari mzalendo

    Serikali yajigamba mafanikio Big Results Now

    Serikali imesema imepata mafanikio makubwa ikiwa ni mwaka mmoja tangu mpango wa Big Results Now uanze kutekelezwa, Mafanikio hayo yamepatikana katika secta ya Elimu, Kilimo, Nishati na Uchukuzi ------------------------------------------------------------------------------- Chanzo: Mwananchi...
  4. bepari mzalendo

    Mapinduzi katika nchi za Scandinavia na Tanzania yetu

    Nakubaliana na wewe Anko sam., As a result wengi wanaoingia kwenye siasa ni wachumia tumboni
  5. bepari mzalendo

    Mapinduzi katika nchi za Scandinavia na Tanzania yetu

    Imekua ni tabia iliyojengeka kwa watanzania na hasa vijana kulilia mabadiliko nchini.. kisiasa, kiuchumi na kijamii., hii imedhihirika mtaani tunakoishi na hapa jamvini (JF). Lakini, je sisi tumebadilika? Nini ungekifanya kama leo ungepewa uongozi? Kumbuka yale tunayofanya kila siku at an...
  6. bepari mzalendo

    Wajibu wetu vijana katika kuijenga tanzania mpya

    Imekua ni tabia iliyojengeka kwa watanzania na hasa vijana kulilia mabadiliko nchini.. kisiasa, kiuchumi na kijamii., hii imedhihirika mtaani tunakoishi na hapa jamvini (JF). Lakini, je sisi tumebadilika? Nini ungekifanya kama leo ungepewa uongozi? Kumbuka yale tunayofanya kila siku at an...
  7. bepari mzalendo

    Jakaya Kikwete kuzika Historia yake?

    I appreciate every good things Kikwete has done for this beautiful country, the desire for change I see in him including the New Katiba movement. But kulinda maslahi ya chama ndio kunakomuangusha most of the times
  8. bepari mzalendo

    Barabara ya Mafinga-Mtili-Mufindi-Kibao-Mgololo ni uonevu mkubwa kwa wananchi

    Kwako muheshimiwa rais, viongozi wahusika na wanajamvi kwa ujumla Ni hivi karibuni nilienda kumtembelea bibi aishie huko Itulavanu kilomita 9 hivi kutoka mji wa mafinga.. Nikiwa huko niliweza kwenda mpaka Mtili, Ifupira, Brook bond, Sawala, Mdabulo mpaka kibao Hali ya barabara niliyoikuta huko...
  9. bepari mzalendo

    Bodaboda, Bajaji, Daladala, Taxi sasa marufuku.

    The guy has a point Kwameh, kama rasimu ya katiba ilimaanisha 'human traficking' wangesema 'biashara ya ulanguzi wa binadamu' na ku-define neno 'ulanguzi' . Otherwise kwameh is right
  10. bepari mzalendo

    Unalia na mabadiliko, je wewe umebadilika..? soma hapa

    kama ilivyo mbuyu unaanza kama mchicha, ili kufika milioni lazima uanze na mia., ndvyo ulivyo uhusika wako katika mabadiliko ya nchi hii
  11. bepari mzalendo

    Unalia na mabadiliko, je wewe umebadilika..? soma hapa

    Imekua ni tabia iliyojengeka kwa watanzania na hasa vijana kulilia mabadiliko nchini.. hasa kisiasa, kiuchumi na kijamii., hii imedhihirika mtaani na hapa jamvini (JF) Kumbuka yale tunayofanya kila siku at an individual level ndio yanayoifanya/yatakayoifanya Tanzania ya kesho. Kesho wewe ndio...
  12. bepari mzalendo

    Baba Mzazi wa Mhe. Tundu Antipas Lissu Mughwai afariki dunia jioni ya leo

    Rest in peace baba, Mungu akubariki kwa kutuletea jembe (Tundu Lissu) I'll remember you for that
  13. bepari mzalendo

    Hoodi wanajamvi

    nawafikiria wazawa
  14. bepari mzalendo

    Nini kinawaponza wachezaji wetu (watanzania) kucheza la kulipwa soka ulaya?

    But kuna wanaojielewa kaka, kama vipaji vipo., kwa mfano samatta, ngassa enzi zake na wengine wengi.. lazima kuna kitu extra kinachokosewa hapa na ndicho kinachotucost hata timu ya taifa, ni kitu gani hicho?
  15. bepari mzalendo

    Nini kinawaponza wachezaji wetu (watanzania) kucheza la kulipwa soka ulaya?

    Najiuliza siku zote sipati jibu, ni kwa nini wachezaji wetu hawapati soko katika ligi maarufu ulaya??
  16. bepari mzalendo

    Hoodi wanajamvi

    nashukuru sana wakuu
  17. bepari mzalendo

    Hoodi wanajamvi

    Kwa heshima na taadhima, salamu zangu nawapa.. naomba nikaribishwe kwa nderemo na vifijo......... bepaaariiiii.......................... bepari mzalendo ndio jina langu!!
Back
Top Bottom