Search results

  1. S

    Nahitaji mke wa kuoa

    ni pm
  2. S

    Naamini mume anapatikana popote..basi nam natafuta mume ishaalah...

    Wakubwa habari zenu na wadogo natumai wote hamjambo..mie ni bint wa miaka 24 na pia ningali mwanafunz wa chuo kikuu...nadhan imefka age ya mimi kua na familia ya kuitazama na kuihudumia kama mke na kama mama kwa ujumla...nahtaj mwenza wa kutulia nae kmaisha ambae atakua tayar pendo kulipokea...
  3. S

    Mume wa mtu kaning'ang'ania......

    Ananitumia sms na kunambia kila kitu kuhusu matatizo yake na mkewe ndo mana sms nazo sijazifuta
  4. S

    Mume wa mtu kaning'ang'ania......

    Ninazo zote alizonitumia na nlizo mjibu mana sikuweza zifuta ziwe ushahidi tosha kwa mkewe
  5. S

    Mume wa mtu kaning'ang'ania......

    hajawahi kunigusa kimwili..
  6. S

    Mume wa mtu kaning'ang'ania......

    Asante,ntafanya hivo
  7. S

    Mume wa mtu kaning'ang'ania......

    Najiheshmu sana ndo mana nataman kumweleza mkewe usumbufu wa mumewe,.sina ndoto za kua na mume wa mtu ktk maisha yangu
  8. S

    Mume wa mtu kaning'ang'ania......

    ..habari wanajf,,kuna mume wa mtu mwenye watoto wawili amening'ang'ania kama ruba anataka nimzalie mtoto japo mmoja kwa madai ya kua mkewe kamjibu hana muda wa kuzaa anamuda na biashara zake maana wanaishi nyumba moja lakn kila mtu na chumba chake kwa miaka 5 sasa na hawez kumpa talaka mana wao...
  9. S

    Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

    Na inakuaje mtu akifanya mapenz wengne wanapitsha cku zao yan badala ya kupata hedh tareh 24 unaaenda mpaka tarehe 7 mwez mwingne na asiposex mzunguko unakua kawaida bla kubadilika
  10. S

    Mke wangu ameniomba nimtaftie mwanamume wa kumliwaza

    We mwache amckilize mama aone..
  11. S

    Ushauri wa haraka jamani

    Hivi mwanamke mwenzio anakupa raha gani labda...?,...mmh!..hizi laana nyngne sasa zmezidi mipaka
  12. S

    Mke wangu ameniomba nimtaftie mwanamume wa kumliwaza

    Acha ujinga..ukimuendeka mama na ndugu hakika ndoa yako haitofka mbali hata kdogo,.shukuru mungu amekuambia live kuliko angetoka nje bla kujua..okey utamwacha mkeo halaf ukaoa mambo yakawa ayoayo inamana utaacha tena au..?..mwanaume kamil hatoi adhab hzo wewe
  13. S

    Wadau iyokoeni hii couple !

    ...cwanasemaga tingisha chupa ya dawa kabla hujainywa..
  14. S

    Tabia za mwanamke huyu zinaniweka mtegoni

    ...ebu achana na uyo mwanamke atakuharbia ndoa yako,kwanza hana adabu atahadithiaje mambo yake kwako..,?..Mrudishie vcd yake tena kwa dharau umwambie aliitizama mkeo mana yeye ndo kila k2..
  15. S

    mawasiliano

    ..mie nisingekubali eti lain aikate kate..mmh..pangechimbika
  16. S

    Mashuka ya Rangi ya Zambarau(Purple)

    hahah..na bei yatapanda
Back
Top Bottom