Mume wa mtu kaning'ang'ania......

sikati tamaa

Member
Sep 12, 2012
21
10
..habari wanajf,,kuna mume wa mtu mwenye watoto wawili amening'ang'ania kama ruba anataka nimzalie mtoto japo mmoja kwa madai ya kua mkewe kamjibu hana muda wa kuzaa anamuda na biashara zake maana wanaishi nyumba moja lakn kila mtu na chumba chake kwa miaka 5 sasa na hawez kumpa talaka mana wao niwakristo kanisa halina talaka na mimi ni muslim na anadai yupo tayar yeye kubadili dini mana haoni raha ya ndoa yake na mkewe,na mtoto wake wa kwanza ni best yangu kupita kiasi na mkewe ni kama dada yangu namheshmu sana..huyu mwanaume ananisumbua mpaka imefka kpnd nataka nimwambie mkewe lakni sijui nianzie wapi na mtoto wake kumwambia kama baba yake ananikera naogopa kupita kias yani hata kwao kwenda siendi tena nmebadili laini ya simu mara tatu lakn kila nikibadili ananambia labda nife ndo atashndwa kunifatilia...na akinipgia anataka kuniona ofisini kwake nsipoenda siku hiyohyo lazma aje mpaka getin kwetu kuniulizia kwetu nimekwenda wapi mana nimkubwa kazni kwao anauwezo wa kutoka muda wowote....plz nsaidieni nimwanzaje mkewe kumueleza mana sms zake zote ninazo anazonitumia na mimi simpendi hata kumuona yani ananinyima amani..,,
 
Hujawa mkweli. Haiwezekani mume wa mtu unayeheshimiana naye kama dada yako tena ni baba wa rafiki zako akung'ang'anie kiasi hicho. Eleza kwamba ulikuwa na uhusiano naye wa kimapenzi sasa wote mmenogewa na mnataka kuchonga mzinga. Usijidanganye kwamba wewe ndio utakuwa mwanamke bora sana kwa kukubali kumzalia.

Ushauri wangu achana naye mara moja kwa maana ya KUACHANA sio sitaki nataka! HAKUFAI, SIO WAKO! JIHESHIMU, JITUNZE NA UJILINDE!
 
Naboreka na mtu anaesema fulanai kaning'ang'ania anataka nimzalie jamani inakuwaje? jamani tell him from the beginning kuwa nahitaji urafiki lakini sitaweza kuzaa mbona njia rahisi? kama anakupenda mtaendelea na urafiki wenu. kuzaa siku hizi ni mipango na uamuzi. ukiamua kuutafuna mshedede unaula tuu bila bila kuzaa wala kuabort.
mwisho, huyo mume wa mtu hakufai achana naye.
 
usizini, mwambie asome biblia yake Mathew 20 atapata amri kuu
 
Mwambie ana mmiliki na asikufuatefuate, la sivyo message zake zote utamwonesha mkewe na binti yake. Hapo atakoma tu. Hilo wala sio jambo la kukunyima raha na amani kabisa.
 
dah, yaani umesema vzr sana ndugu yangu...USHAURI NI HUU MTOA MADA!!!!
Hujawa mkweli. Haiwezekani mume wa mtu unayeheshimiana naye kama dada yako tena ni baba wa rafiki zako akung'ang'anie kiasi hicho. Eleza kwamba ulikuwa na uhusiano naye wa kimapenzi sasa wote mmenogewa na mnataka kuchonga mzinga. Usijidanganye kwamba wewe ndio utakuwa mwanamke bora sana kwa kukubali kumzalia.

Ushauri wangu achana naye mara moja kwa maana ya KUACHANA sio sitaki nataka! HAKUFAI, SIO WAKO! JIHESHIMU, JITUNZE NA UJILINDE!
 
hujawa mkweli. Haiwezekani mume wa mtu unayeheshimiana naye kama dada yako tena ni baba wa rafiki zako akung'ang'anie kiasi hicho. Eleza kwamba ulikuwa na uhusiano naye wa kimapenzi sasa wote mmenogewa na mnataka kuchonga mzinga. Usijidanganye kwamba wewe ndio utakuwa mwanamke bora sana kwa kukubali kumzalia.

Ushauri wangu achana naye mara moja kwa maana ya kuachana sio sitaki nataka! Hakufai, sio wako! Jiheshimu, jitunze na ujilinde!

ni kweli mkuu kwasisi watu wazima tumemuelewa vizuri tuu huyu alishawahi mpa ndo maana anang'ang'aniwa
 
Hujawa mkweli. Haiwezekani mume wa mtu unayeheshimiana naye kama dada yako tena ni baba wa rafiki zako akung'ang'anie kiasi hicho. Eleza kwamba ulikuwa na uhusiano naye wa kimapenzi sasa wote mmenogewa na mnataka kuchonga mzinga. Usijidanganye kwamba wewe ndio utakuwa mwanamke bora sana kwa kukubali kumzalia.

Ushauri wangu achana naye mara moja kwa maana ya KUACHANA sio sitaki nataka! HAKUFAI, SIO WAKO! JIHESHIMU, JITUNZE NA UJILINDE!

Najiheshmu sana ndo mana nataman kumweleza mkewe usumbufu wa mumewe,.sina ndoto za kua na mume wa mtu ktk maisha yangu
 
Mpaka akwambie umzalie mtoto inawezekana mmeshaonjana tayari kanogewa na anataka umzalie mtoto.Kwa ninavyojua mwanaume hawezi kukutaka siku ya kwanza na kuanza na neno la umzalie mtoto kabla hajakuonja.
 
Back
Top Bottom