Kwa sababu
kuna faida nyingi kuwa na subira kuheshimu maamuzi binafsi ya watu.
Hiki ndicho kupindi kugumu kabisa kuwahi kutokea kwa opposition na si watu wote wana ngozi ngumu sawa na wengine kuhimili masaibu hayo. Wengine wanafuta easy way ya usalama binafsi, familia zao na mali zao.
Ni hayo...
You want people to say what you want to hear, You hate critical thinkers. Those to doing otherwise you lock them up, ban press (No Freedom of Expression)
People live in terror NOT peace. No thinking, no creativity
AT THE END CRIPPLED ECONOMY
Mnnaumia kwa sababu
ya:
kukipenda CHADEMA na mngependa kizidi kuimarika?
nampenda Zitto binafsi?
mngependa Chama hiki kife ....?
Kama unakitakia mema chama soma vizuri
taarifa a cc kuhusu ule waraka (usije na
kisingizio kuwa umepikwa.....upo na Kitila
alikiri kuwa ni mipango yao hiyo ya...
Waziri wa nishati na madini wa Tanzania anekunuliwa akisema kuwa uwezo wa Watanzania kuwekeza unaishia kwenye juisi na matunda. Alisema hayo alipoombwa na Taasisi ya sekta binafsi Tanzania asitishe zoezi la kutoa vitalu vya gesi asilia kwa wageni hadi sera ya gesi na mafuta iwe tayari ili...
Maisha ya jamii kuanzia mtu binafsi yanahitaji mtaji wa afya kiakili, kiroho/kifikra na kimwili. Huwezi kudeliver 100% kama mwili wako ni goigoi. Hata kwenye michezo kuna kitu kinaitwa 'physic' yaani stamina ambalo ni tatizo kwa timu yetu ya taifa tunapokutana na mataifa mengine. Ikija kwenye...
Miezi michache iliyopita ujumbe wa China ulikuwa hapa nchini na kusaini mikataba ya kibiashara takribani 16 ikiwamo ya gesi na mafuta, madini, ujenzi wa bandari nk. Lakini hakuna anayejua nini kilichoko kwenye mikataba hiyo zaidi ya wateule/wabarikiwa wachache. Hata wabunge hawajui na hata...
Kwa mara ya kwanza katika bunge la 11 leo nimeshuhudia wabunge wote wameonesha kukumbuka kuwa wote ni Watanzania no matter what!
Leo ni bajeti ya wizara ya Ulinzi na JKT. Ni leo tu katika mkutano wa 11 nimeona mawaziri wa serikali wa CCM wanapongeza na kukubali hoja na ushauri wa Challege...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.