Mpya: Matokeo ya uchaguzi kata ya Mlangali Ludewa.

Mbona huu uzi haujitoshelezi? Tupe source hali kadhalika na hesabu ya kura ilivyokuwa.
 
Hureeeee...pipozzzzz.........tupe matokea 2meshinda kwa kura ngapi mkuu!
 
jaman mbona waturusha roho, we need changez, natmai watu wa ludewa wamepevuka na kuyachukia magamba, plz more update
 
Ni kweli kwamba tumeshinda mlangali, lakini tunataka matokeo kwa idadi ya kura
 
Hivi mbona magamba hapa sioni wakifurahia ushindi wao?

Naona wana tatizo la kisaikolojia kutokana na progress ya CDM!!
 
Arusha daraja mbili tumeshinda,idadi ya kura sio ya uhakika ila tumewapiga kwa kura zaidi ya mia nane.nipo mwanza alakini hizi habari ni za uhakika.kule kwa dogo janja mambo ni magumu kata ya bangata hali yetu ni mbaya alakini ngoja tusikilizie mpaka mwisho.
 
Back
Top Bottom