wakuu mi naona 2achane na mambo ya % la muhimu ni kujua 2 hela wanayokulipia bodi ktka ada alfu inayobaki ndo utamalizia baada ya kuzichanganua izo hela ulizopata kwa kufanya kama wadau walivyoeleza halafu hela ya field ni sawa kwa wote waliopata mkopo kama 2 hela yako itakua imekidhi ktka meal...
Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini, wako hatarini kuchelewa kupata fedha za mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kutokana na mchakato wa kutoa mikopo hiyo kuchelewa kuanza. Hali hiyo inatokana na vyuo hivyo kuanza kufunguliwa mwishoni mwa mwezi huu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.