Search results

  1. K

    Magufuli: Nikiondoka watakaokuja wataweza?

    Pumbavu zako, Membe ndio nani?
  2. K

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Dokta MABAO6. Kwanza nakupongeza kwa mada yako nzuri na ya maana sana. Wengi tunaumwa ila hatusemi. Unakumbuka wakati wa babu wa Loliondo? Hapo ndipo tulipojua waTanzania walio wengi ni wagonjwa na wamekuwa wakikosa tiba sahihi ili wapone. Nirudi kwenye mada, nauliza tena swali la mwanaJF Doricy...
  3. K

    Mtikisiko Tanesco;WAFANYAKAZI MAMIA WAPANGULIWA, WENGINE WAFUKUZWA, KISA TUHUMIWA ZA WIZI, HUJUMA

    Safi sana. Hongera kaza kamba hiyo hiyo Pro. Muhongo. Hapana kuonea huruma wezi na mafisadi wanaoimaliza nchi yetu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  4. K

    naitaj projector ya faster

    Nimefurahi kwa ushirikiano huu. hata mimi nahitaji kwa ajili ya kufundishia. nitawapataje nyie mabwana?
  5. K

    Siku ya kweli aliyokufa Mwl J K Nyerere

    Wana JF nimefuatilia mjadala huu. Zipo hoja tanzu zinazaliwa ndani ya mjadala, mfano wengine wanauliza mazingira ya kifo cha aliyekuwa waziri mkuu miaka ya 80 hayati Sokoine na wengine utata wa kifo cha hayati Horace Kolimba. Na hii sasa inakaaje......hebu sikia, kuna mhubiri mmoja wa madhehebu...
  6. K

    CRDB NI AIBUkwa benki hii kutoa ubani wa laki tano kwa familia ya wanajeshi

    Unajikuna mkono unapofika. Usilaumu chochote hapo.......
Back
Top Bottom