ujenzi wa daraja la kigamboni umeanza hv karbuni na ujenzi huo utakao chukua mda wa miaka mi 3 hadi kukamilika utakua ukidhaminiwa na mfuko wa NSSF,.Je wana JF wenzangu hii kweli co sababu iliyoifanya serikal wawakataze watu kuchukua ela zao za NSSF mpaka pale watakapofksha miaka 55...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.