Search results

  1. I

    Viongozi na wanachama wote wa wa chadema vyuo vikuu-iringa..

    Leo,viongozi na wanachadema wafanya kikao cha kujadili maendeleo ya chama na jinsi ya kupambana na ufisadi mkuu katika taifa letu.Lakini pia katika kikao kilichofanywa na wanachama hao,WAUNGA MKONO MAAMUZI YA KAMATI KUU CHADEMA KWA MHE. ZITTO KABWE NA DR. KITILA MKUMBO.
  2. I

    Kubebana.....

    Huu msemo unatumiwa sana MUCE,wakuu wa MUCE hasa watalaamu wa kiswahili,tutafutieni msemo mzuri ambao nikiutamka hautafikirika kwa fikira tata,binafsi haka kamsemo sikapendi.....
  3. I

    Kwa wale watu wa singida....wanaosoma MUCE....

    Kama umetoka singida hasa IRAMBA halafu unasoma MUCE...,tafadhali tuwasiliane kupitia no. 0756816536.
  4. I

    Serious.....

    Natafuta mchumba ambaye ana umri kati ya miaka 19 hadi 23.Contact me 0756816536.SORRY KAMA HII THREAD HUTAIPENDA,USITUKANE.
  5. I

    udsm_muce hakuna kitu bora teKu

    huku hakuna mademu wazuri nahisi nitadisco bila mademu naomba ushauri wakuu! via oil sumu never die
  6. I

    Kwa tcu na jkt

    Wimbo wa LADY JAYDEE-YAHAYA UNAISHI WAPI,UJUMBE KWA TCU na JKT popote taasisi hizi zilipo.
  7. I

    Sidhani kama uhalifu utaisha.....................

    Vitendo vya uhalifu nchini vinazidi kuongezeka sana.Na hii ni kwasababu vijana tunaowapatia mafunzo ya kijeshi,serikali haioneshi nia ya kuwaajili na wanaporudi mitaani wanapata vishawishi vingi ambavyo huwafanya watumie mafunzo waliyonayo kufanya uhalifu.HIVYOBASI,SERIKALI ITENGENEZE UTARATIBU...
  8. I

    Wanasiasa jifunzeni kuandika mambo ya msingi mitandaoni.

    Inakera sana kusoma post za viongozi wetu ambazo hazina maana mitandaoni.Tambueni kwamba mitandaoni mnako-post upuuzi,wananchi mnaotuongoza tunasoma na kutafakari.Kwanini dhana ya uadilifu mnaipoteza?.Pia siasa ya BONGO kutawaliwa na matusi majukwaani na kuacha kuwaeleza mambo ya msingi...
  9. I

    Serikali iwajali wakulima na wafugaji,hatua hiyo itapelekea maendeleo ya taifa.

    Nasikitishwa na ahadi zitolewazo na viongozi wetu kipindi cha kampeni,pia hata viongozi wa kuteuliwa kwani utendaji wao si sawia na ahadi wazitoazo kwa wawateuao na wananchi.Suala la wakulima na wafugaji,kwanini serikali hailitendei kazi ipasavyo!.Maafsa wa maliasili kuua ng'ombe kwa kutumia...
Back
Top Bottom