Search results

  1. Hewa mkaa

    Viongozi mbio za Mwenge,msijipe majukumu msiyoyajua!

    Vijana naona wataanza kuikwepa fani ya civil engineering. Kila kiongozi ni mtaalamu wa ujenzi. Poleni wale mlokwisha tumbukia. Nawaonea huruma mainjinia huko kwenye halmashauri. Kama injinia hajaguswa ujue wilaya haina mradi wa ujenzi. Wale mainjinia wa maji waliponea chupuchupu baada ya kuhamia...
  2. Hewa mkaa

    Jidanganyeni tu kuwa eti leo Algeria watapanga Kikosi dhaifu dhidi ya Makonda CCM FC huko AFCON 2019 Misri

    Ili TZ iwe best looser lazima kumfunga Algeria 6-0. YES it is possible
  3. Hewa mkaa

    Kwa Magufuli na Makonda;Mpira siyo Siasa wala maneno baali ni TAALUMA

    "If you do not know how to manage your game, you pay the price," Amunike said. "There were a lot of crazy things going on and we committed a lot of mistakes. Our positioning was wrong, our marking was wrong."
  4. Hewa mkaa

    Magufuli: Nilipanga kuchukua timu ya jeshi iwe ya Taifa

    "If you do not know how to manage your game, you pay the price," Amunike said. "There were a lot of crazy things going on and we committed a lot of mistakes. Our positioning was wrong, our marking was wrong."
  5. Hewa mkaa

    Baada ya kuwachongea wabunge, Makonda atamwambia nini Rais atakaporudi kutoka Misri.

    "If you do not know how to manage your game, you pay the price," Amunike said. "There were a lot of crazy things going on and we committed a lot of mistakes. Our positioning was wrong, our marking was wrong." Amunike
  6. Hewa mkaa

    Wakuu nini itakuwa mbadala wa mifuko ya plastiki?

    Wana Kagera hawatapata shida
  7. Hewa mkaa

    Magufuli: Kama kuna mtu hawezi kwenda na kasi yangu leteni jina nimtoe

    Kuna kitu kinaitwa "threat motivation"
  8. Hewa mkaa

    Watu wanne Mkoani Musoma wamehukumiwa kwenda jera miaka 150 baada ya Kupatikana na kosa la wizi wa kutumia siraha

    Inaweza kuwa ni miaka 15 hukumu 10 concurrent. Na pia usisahau formula ya gereza mfungwa akiingia wanapunguza one third labda akifanya kosa gerezani huwa zinarudishwa kidogo kidogo
  9. Hewa mkaa

    CHADEMA sasa kumekucha

    Usiseme kupiga kura sema haya "ndiyo yatakayo hesabu kura" . Tafadhali weka msisitizo kwenye kuhesabu kura
  10. Hewa mkaa

    Hati ya Mashtaka dhidi ya CAG Assad: Anachomokaje?

    Hii issue mi naiona kama personal grudges. Kwa nini utawala wa nchi kwenye migogoro? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Hewa mkaa

    Kama uliwahi kukutana na balaa la mbwa wakali hebu share na sisi

    Niliwahi kuwaokoa hawa watoto wakati wanashambuliwa na mbwa. Walikuwa wanatoka shukeni. Ni pale Muhutwe wilaya ya Muleba. Kwa sasa wanaendelea vizuri Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Hewa mkaa

    Anayepata 4G ya TTCL anyoshe kidole

    Na hapa ni Bukoba mjini kati Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Hewa mkaa

    Ili kuokoa pesa za walipa kodi, ndege zote za ATCL Masoud Kipanya apewe tenda ya kuchora Twiga.

    Emirates A380 in numbers| Painting the world's biggest passenger plane 6,000 Hours it took to paint the aircraft during its latest paint job in 2016. 3,076 Area of the plane in square metres that is covered in paint. 1,100 Kilograms of paint used over seven coats. 34 People required to...
  14. Hewa mkaa

    Matangazo ya mashirika ya BBC na VOA nchini Burundi yapigwa marufuku kwa muda usiojulikana

    "WANAKUZA MAMBO HASI"ya afrika kuwa makubwa kwenye vyombo vyao huwa hawawasilishi mambo chanya kuhusu afirka. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Hewa mkaa

    Mabasi ya Frester na Dar lux yagongana nje kidogo ya mji wa Bukoba

    Tukio ni la kweli lakini simulizi ni uongo. Ukweli ni kwamba waligongana njia panda ya Maruku kama km 10 kutoka Bukoba stendi au km 5 kutoka njia panda inayoelekea kwa marehemu Ruge. Inaonekana kayika kuovatekiana, dereva wa Darlux alirudi mapema kabla ya kujipa distance ya kutosha wakati pia...
  16. Hewa mkaa

    Je, ni kweli huyu dada kavaa Sare za Jeshi la Tanzania za mkuu Brg Grn CD Katenga?

    Mambo ya photo shop msitake kuharibu kazi za watu Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Hewa mkaa

    Bukoba: Nyumba za Kiziru zashangaza wengi/ Nshomile nimewanyooshea mikono

    Nyumba hasa za vijijini ni fahari ya macho. Wenye nyumba yao wakiondoka/kufa hazina thamani tena. Nyumba ni mjini inakuwa ni asset. Inaweza kuuzwa au kupangishwa even in the absence of the owner lakini kwa kijijini watakaa walimu au mtendaji bure ili kuipasha. Its high time watanzania tufikirie...
  18. Hewa mkaa

    Wanawake wanaoficha madini sehemu za siri waonywa

    Madimbwi ni uwezo wako wa kumkojolesha mwanamke. Kama huna ujuzi ukae kimya Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom