Habari wakuu...!
Sorry wakuu,kuna shida upande wangu sasa sijajua kama ni kwangu tu au laah.. TBC kwenye DStv haitoi sauti ila channel nyengine zote zinasauti kama kawaida,its almost two weeks now, msaada wenu wakuu.
Thanx :yo:
mkuu ingia kwenye cmd promp then type the following command mkuu.
kwanza select HDD letter yako kama ni D: or E: or any letter of your drive xo
F: enter then type
attrib -s -h /s /d *.* then enter
note kwenye space weka space
then enjoy:becky::becky::becky::becky::becky:
libale kushney
mkuu jaribu kubadili adaptor yako,coz mara nyingi hilo tatizo huwa linasababishwa na kuzidi kwa umeme kwenye pc coz kila adaptor ina voltage zake ambazo pc need ko ikizidi huwa inatokea hivyo cursor haitulii na inaboa kweli,nilisolve kupitia hv jaribu inaweza ikafanya kazi
mkuu mara nyingi kama ni tatizo la rolling back action huwa linasababishwa na viruses kwenye PC,fanya clean boot alafu install drivers na kila kitu hakikisha upo safe kama unatumia flash then install moderm if hilo ndo tatizo
mkuu jaribu njia hizi
1.Chomoa machine kutoka kwenye source ya power then iwashe machine huku umeshikilia power button kama 3times kwa mda (dk 3)hv ili kuwith-draw excess power,kwasababu hilo tatizo maranyingine linasababishwa na excess power.
2.Ifungue machine halafu toa RAM piga blower...
Habar wana JF,
nina Harddisk yangu ya 320GB SATA ya my pc toshiba Mseries iko locked,nilikuwa najaribu ku lock kwenye BIOS set up ko nimesahau password,nahisi nazichanganya, najaribu inagoma,xor wakuu...naomba msaada wenu namna ya ku-UNLOCK harddisk hiyo.
thanx
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.