Search results

  1. P

    Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

    Mkuu, ulinishtua kidogo nikafikiri umeghafirika. Kuwa makini kidogo mkuu unapochanganya kiswahili na kiingereza maana...
  2. P

    Kampeni chafu zaanza UVCCM

    Tuko pamoja mkuu, kilichonishtua zaidi ni kuamua ku-legalize it... Kazi kweli kweli
  3. P

    Kampeni chafu zaanza UVCCM

    Na Simon Mhina SOURCE: Nipashe Hawa ndio viongozi wetu: Im out of words...
  4. P

    Je hiki ni kipeo cha uwezo wa mawaziri wetu kufikiri?

    Yes mama, you are right. Lakini angalia ni ipi ilikuwa ya kwanza kkubandikwa hapa. Ingawa to me its ok either ways kama hii ikiunganishwa kule au ile iunganishwe huku... Mods pls...
  5. P

    Je hiki ni kipeo cha uwezo wa mawaziri wetu kufikiri?

    Well said mkuu, tuko pamoja. Nafikiri pia tatizo lingine lipo kwenye kuchagua ccm members pekee kushika uongozi wa nchi baada ya ushindi wao wa tsunami, EPA?. Mimi huwa najiuliza sana, ina maana kuwa ccm ndo kuwa na "akili"? Naamini kuna watu wenye uwezo mkubwa sana wa kuongoza vizuri ambao...
  6. P

    Je hiki ni kipeo cha uwezo wa mawaziri wetu kufikiri?

    Heshima mbele wakuu. Nimekuwa nikifikiria sana juu ya upeo wa mawaziri wetu ambao wana dhamana ya kuliongoza Taifa letu kwenda kwenye Maisha Bora kwa kila Mtanzania. Hapa ntatoa mifano miwili tu (iliyonigusa na current ones) 1. Nilisikiliza mahojiano kati ya mheshimiwa mkuu sana wa habari na...
  7. P

    EPA na mambo yake

    i side you in this...
  8. P

    Caught on Tape: Mkakati wa Mamluki wafichuliwa!

    Asante na Hongera MMKJ kwa kutuhabarisha habari nyeti, na sensitive katika usalama wa taifa letu. Umetoa majina, sehemu, namba za magari, hadi agenda za mikutano hiyo. Kuna watu humu hata ukileta hizo sauti watakuambia umefoji. Its nothing else than udini. Shida ya watanzania sometimes ndio...
  9. P

    Caught on Tape: Mkakati wa Mamluki wafichuliwa!

    Same person with different faces...
  10. P

    Rais Mteule Barack H. Obama!

    (BBC) Democratic Senator Barack Obama has been elected the first black president of the United States. "It's been a long time coming, but tonight... change has come to America," the president-elect told a jubilant crowd at a park in Chicago. His rival John McCain accepted defeat, saying "I...
  11. P

    Rais Mteule Barack H. Obama!

    (CNN) -- Sen. John McCain on Tuesday urged all Americans to join him in congratulating Sen. Barack Obama on his projected victory in the presidential election. Sen. John McCain congratulates Sen. Barack Obama on his projected victory. "I pledge to him tonight to do all in my power to help...
  12. P

    Hotuba za Rais kila mwezi

    Nimekupata mkuu. Ingawa napata shida kidogo na hili. Kama wengine hawakujua at least Mkapa et al walijua... La sivyo Balali "asinge-wapa" hizo bingo. Nafikiri uidhinishaji ulihitaji higher authority zaidi waliyokuwa nayo Kikwete na mtandao...
  13. P

    Hotuba za Rais kila mwezi

    [/COLOR] Mkuu, hata kama hilo linawezekana ni ngumu sana kuwafunga "wenzake"
  14. P

    Hotuba za Rais kila mwezi

    Mkuu, yuko tayari chama kife kwa ajili yake na mtandao..
  15. P

    Hotuba za Rais kila mwezi

    Mkuu hata unekuwa wewe usingefanya hivyo.. Yaani akaombe data za kujifunga mwenyewe?
  16. P

    Hotuba za Rais kila mwezi

    Jamani sometimes JK tunamwonea bure, some issues hausiki. Hivi ni nani kati yetu humu JF asiyejua kuwa hela za EPA "zilichukuliwa" ("hazikuibiwa") na CCM kwa ajili ya kampeni? Kagoda et al ni channels tu za "kuchukulia" (Maana ilihitaji Balali awe kichaa kwanza ili ziibiwe the way...
  17. P

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Duuh hii kazi kweli kweli. Nilidhani shida ni OIC na Kadhi, kumbe hadi muda??!! Mkuu, unaonaje ukienda kuishi Saudia..?
  18. P

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Naona pc yangu ina kirusi.. Ila ntaandika tuu.. That was not originally posted by pingiri... Anyway mwenye posti anajijua.
  19. P

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Mawazo mengine ni ya ajabu sana. Hii lazima itakuwa "vijiweni source". Ndo maana wachangiaji wengine wanaamua ku-sum up baadhi ya maoni as IDIOTIC!! (Sorry I didnt say this is IDIOTIC)
Back
Top Bottom