Search results

  1. E

    CHADEMA na mikakati ya kujiimarisha kanda ya Pwani na Zanzibar

    Ilikuwapo mkuu, iliposhika nafasi ya 2, Jussa akasema kuwa eneo lile wengi walikuwa wakristo, tatizo unafikiri kwa kutumia masaburi,swali ccm ipo Pemba?, msalimie msajili wako mpendwa J.Tendwa na uache tabia za alshabaab wewe, tangu muoane na cuf unaringa sn mkuu.
  2. E

    CHADEMA na mikakati ya kujiimarisha kanda ya Pwani na Zanzibar

    Umetumwa na Kibaraka wa ccm kikofia chekundu Douvutwa, kura za Zbar ni jimbo la Ubungo si lazima kwenda huko,kumbuka cdm walishika no. 2 kwenye uchaguzi mdogo huko Zbar, acha u-alshabaab ww, mbona ccm haipo Pemba, msalimie J.Tendwa, mke wa ccm ni cuf.
  3. E

    Sitta alikoroga; Kauli zake zadaiwa kuichimbia 'kaburi' CCM, Nalaila Kiula aibuka...

    Huyu mzee ni mnafiki sana anajifanya anapambana na ufisadi wakati amejenga nyumba ya spika jimboni mwake, halafu mbona mpaka leo hajatueleza kwanini alifunga mjadala wa richmond kimya kimya, kiboko yake Mngeja, yaani Sitta kwa Mngeja ana-park basi, acha unafiki we mzee watanzania wanakujua...
  4. E

    Kwanini tusiunganishe nguvu kama lengo ni moja!

    Acha maneno yako wewe-Mzee Magali, Naomba unijibu CUF ni mfumo upi?
  5. E

    Waandishi wa habari mnazidi kuingamiza CHADEMA

    Ahaa unataka cdm ife ibaki TLP, NCCR, CUF na UPDP ili msipate upinzani ww ni idiot kabisa.Hivyo kwanini msiimalize cdm kwa kujenga oja?, hizi hoja za udini zinawatesa sana huko UWT mgombea amelalamika kuwa waliochaguliwa wote wakristo, udini upo ccm soma magezeti ya leo uone udini huko UWT na si...
  6. E

    CHADEMA na CUF kipi mashuhuri??

    Acha unafiki ndugu yangu, hivi sasa hivi unaweza kufananisha cuf na cdm kweli?, mbona chama hiki kinategemea fadhira za ccm, naomba unieleze nguvu ya cuf bara, kwani cdm haiwezi kuchukua nchi bila zanzibar?, kura za zanzibar ni majimbo 3 tu ya JJ Mnyika sasa ni zanzibar bwana?, acha propaganda...
  7. E

    CHADEMA kuchukuliwa hatua kali na Serikali kwa rafu zake - Wassira!

    Hana jipya mtu mzima ovyo, nasikia anaogopa kwenda jimboni akihofia kuzomewa, nadhani sasa naamini kwamba serikali inapoteza mapato mengi kwa kumuacha wassira uraiani badala ya msituni ambapo angetuingizia mapato mengi ya utalii kwa sura yake by Godbless Lema, yani liwalo na liwe ni handsome...
  8. E

    Dr. Mkumbo aula UDSM

    Eeeh hongera mbunge mtarajiwa wa Iramba magharibi,2015 umtoe yule murderer au mgoni wa jimbo la Igunga, wana Iramba Magharibi wamechoka kusikia mbunge wao mara kafumwa ugoni mara muuaji, wanataka mtu makini si mtu kama chemba la ma..........vi, amesimaimia chaguzi 2 kwa niaba ya ccm lkn hakuna...
  9. E

    "CHADEMA Wamechakachua Picha"!

    Yaani nyie wazee wa liwalo na liwe, richmond, meremete, mgodi wa barrick, sh.315billion-uswizi, ulimboka, sinema ya kova mbona mnashangaza hata hii picha hamuiamini, tangu siasa za tz zianze sijawahi kuona ccm wamebanwa kiasi hichi, kazi yenu imekuwa kuji-defend tu na missiles za cdm, kazi ipo...
  10. E

    Hatimaye ADC yapata Usajili wa Kudumu

    Du ichi chama ccm c nacho kimepata usajili?, du cdm mkae macho adui mwingine ameingia kwenye siasa za tz, sipati picha siku Hamad Rashid akiwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni maana alikuwa anavujisha maswali kwa pm au mzee wa liwalo na liwe ili ccm wasimbane na biashara zake za uvuvi...
  11. E

    Hatimaye ADC yapata Usajili wa Kudumu

    Du hawa nao wamepata usajli, adui mwingine wa cdm ameingia kwenye siasa za tz, ccm d karibuni na unafiki wenu, ngoja Hamad aanze kuvujisha siri za chama kwa liwalo na liwe, chama cha pemba hiki hamna jipya nyie.
  12. E

    Mwigizaji maarufu 'Steve Nyerere' achukua fomu za kugombania ujumbe wa NEC ya CCM

    Mbona mnakuwa wanafiki sana ccm eti nchi itauzwa, nyie sasa hivi mpo madarakani kwa kiwango gani mnaweza kusema mnalinda rasilimali za nchi, twiga wanaingizwa kwenye ndege mpaka uarabuni ndio mnarinda mali za nchi kweli?, kati ya nchi zinazopata msaada mkubwa duniani kutoka Marekani na sisi tupo...
  13. E

    Msafara wa Dkt. Slaa wazuiwa kwa muda Iringa jioni hii

    Mbona sababu za kuzuia maandamano zinazotolewa na hawa watu wa liwalo na liwe ni nyepesi, eti barabara za morogoro ni nyembamba by Emmanuel Nchimbi,kuna uhusiano gani kati ya wembamba wa barabara na kuzuia maandamano, tatizo ndugu zetu ccm hawajui nchi hii imebadilika sana, propaganda za akina...
Back
Top Bottom