Search results

  1. G

    Nani anataarifa ya uhamisho wa walimu kwa mwezi june 2014

    Uhamisho walimu kea mwezi june tafadhali. Nani anataarifa yoyote.?
  2. G

    Serengeti Brewaries, wapi bia ya serengeti chupa ndogo? Pepsi, soda ya Mountain Dew wapi?

    Wana jf nasikitika kusema kuwa vinywaji nivipendavyo bia aina ya serengeti ya chupa ndogo na soda ya mountain dew kutoka pepsi (sbs). Hazipatikani tena, nimejitaidi kuzitafuta mbeya, dar na moshi hamna kabisa, na ukiuliza napewa tetesi eti hazi zalishwi tena kisa serengeti chupa ndogo inauwa...
  3. G

    Hivi ni kweli tipa ilikufa yenyewe haikuhujumiwa?

    Jana nilikuwa na angalia kipindi cha KIPIMA JOTO kinachorushwa na ITV kila Ijumaa, nilishangaa kusikia kutoka kwa mwakilishi Wa tasisi moja ya Serikali inayoshughulika na maswala ya mafuta akisema bila haibu ETI TIPA YA KIGAMBONI iliyokuwa inasafisha mafuta ya PETROLI ilikufa yenyewe kutokana na...
Back
Top Bottom