CRYPTODIAMOND.
ni kampun ya kimarekani inayomilikiwa na Julie H. Anderson yeye ndiye Owner & Founder, CryptoDiamond.Tech Ltd.
pia inamiliki COIN yake yake ya CDT COIN ( Invest in your future: CryptoDiamondTech Coin will be a close-ended Erc-20 token which will be created to serve the needs of...
kiwanja kinauzwa
vipimo vyaki ni hivi
magharibi mita 77
mashariki mita 89
kaskazini mita 62
kusini mita 8
na nivizuri ukienda kukiona mwenyewe ili ujilizishe!!
Email Address: josephangetile@yahoo.comArea: Dar Es Salaam -
kipo dar es salaam, kongowe - kilungule.
kwa namba yangu ya simu naomba...
kiwanja kinauzwa kipo kongowe - kilungule
bei ni nafuu sana.
VIPIMO VYAKE NI HIVI HAPA:-
MASHARIKI - futi 89
MAGHARIBI - futi 77
KASKAZINI - futi 62
KUSINI -futi 8
NI KIKUBWA SANA
KWA MAWASILIANO NAOMBA UNITUMIE PRIVATE MESEJI ZENI NITAKUPA CONTACT ZANGU ZOTE ZA SIMU AU
TUMIA EMAIL HII HAPA...
aisee naombeni kuuliza kunatetesi zimeenea mtaani eti kwa mwaka huu ajira za ualimu zinatoka mwezi huu january na tena wiki hii kuanzia tarehe 19 mwezi huu, je kuna ukweli juu ya hili suala?
wale wa kukatisha watu tamaa, kukosoa au kuumiza watu kwa majibu ya hovyo tafadhali ka hujui...
msaada wakuu mimi natumia modem ya CDMA na ninahitaji kutumia TunnelGuru na hii modem yangu, tafadhal anayeweza naomba anisaidie jinsi ya kuiconfigure(kuiseti) ili niweze kuitumia kwa sababu nimependa huduma zao na naitaji kuanza kuitumia. natanguliza shukrani zangu za dhati kwa atayenisaidia!!!
Jamani naomba msaada wenu hivi usaili wa polisi kwa form 4 na 6 haujaisha bado? na wa graduate kutoka chuo unaanza lini? coz mara ya mwisho wadau walisema tarehe 3 mwezi huu lazima graduate kutoka vyuoni waitwe mbona kimya? mwenye taarifa naombeni anijuze tafadhali?
Tulipokuwa chuo tulijaza form za kuomba jeshi la polisi lakini mpaka sasa mbona kimya hatuoni majibu ya kuitwa kwenye interview ila tunaona majina ya form 4 na form 6 tu. mwenye taarifa kuhusiana na hilo naoma anijuze?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.