Search results

  1. Vanlizerfx__

    Naomba kujuzwa chimbo la bidhaa hii hapa Dar

    Habari mabaharia(watafutaji) Naomba kujuzwa chimbo la Dildo kwa hapa dar ni wapi nmeshapata wateja wengi bado mzigo tu Fanyeni upesi wapendwa nhitaji sana hasa ndefu na nene
  2. Vanlizerfx__

    Ushauri wa maisha utakaokufanya usikate tamaa

    Habari wana Jamii forums Kwenye maisha tunapitia changamoto nyingi ambazo kuna kuanguka na kukosa wa kukushika mkono, wa kukufariji hata wa kuona thamani yako hata kidogo. Unakumbuka wakati ambao wewe ambaye ulikuwa unatoka kijijini kwenda mjini ni hali gani ambayo ulikuwa unajisikia...
  3. Vanlizerfx__

    Wanachuo mlioko mtaani hii ni yenu changamkieni fursa

    Habari wana Jforums Leo nimependa kushare thread moja miongoni mwa thread zenye sumu sana kwa vijana waliotoka vyuoni na ambao wapo mtaani juu ya kujiajili katika biashara tofauti tofauti Habari wana Jforums Leo nimependa kushare thread moja miongoni mwa thread zenye sumu sana kwa vijana...
  4. Vanlizerfx__

    Natafuta vijana wa kazi waliosoma computer science na software developer

    Habari wana jamiiforums Kama mnakumbuka nilitoa thread nilikua nahitaji wafanyakazi kwa ajili ya kutengeneza system kama ya blockchain kwa ajili ya kufanya mining ya cryptocurrency hapa Tanzania Tumefikia asilimia 40% ya system yetu sababu ya upungufu wa skilled na watu professional katika...
  5. Vanlizerfx__

    Huu wizi TCRA hawajawahi kuusikia au kuna ujanja unafanyika?

    Kama uliwahi kuweka vocha kwenye simu yako alafu ukakuta ile hela uliyoweka haipo na wala hujaitumia, ulishawahi jiuliza inaenda wapi nini kifanyike ili kuzuia wizi wa namna, nini kinafanyika kuzuia wizi wa aina hiyo. “Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wananchi kwamba wanapoteza pesa kujiunga...
  6. Vanlizerfx__

    Wizi unaofanywa na wafanyakazi wa Benki kwenye account za Wateja

    Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi (DCI) George Kinoti amefichua kuwa wizi unaofanywa kwenye akaunti za wateja wa benki na wale wa huduma za mitandao ya simu hutekelezwa na wafanyakazi wa taasisi hizo. Akizungumza kwenye hafla katika hoteli ya Radisson Blu jijini Nairobi, Bw Kinoti alisema ipo...
  7. Vanlizerfx__

    Jifunze kilimo cha zabibu na kujikomboa kimaisha

    Kilimo cha Zabibu mkoani Dodoma kina historia ndefu, ambapo kwenye miaka ya 1950 na mwaka 1974 chini ya uzaidizi wa bihwana misheni, serikali ya Tanzania wakati huo ikishirikiana na serikali ya china ilianzisha kituo cha kilimo cha Bihawana Farmers Training Center (BFTC) kwa ajili ya kufundisha...
  8. Vanlizerfx__

    Hatua za kufuata ili kuanzisha biashara ya madini Tanzania

    Habari wanajamii forums Leo nimekuja na fursa ya jinsi gani wewe kijana unaweza kuanzisha biashara yako ya kuuza madini Zifuatazo ni hatuna za kufata jinsi utakavyoweza kununua na kuuza madini Kusajili kampuni Brela Kijiandikisha Mlipa Kodi Kuchukua leseni Kuchukua Hati ya Usalama wa...
  9. Vanlizerfx__

    Ifahamu siri iliyojificha katika matangazo ya kulipia (sponsored ads) na jinsi ya kupata faida

    Ukweli Kuhusu Matangazo Ya Kulipia!( Sponsored ads) Huwa nasema kama hujui Kulipia Matangazo FB na Instagram na wewe ni mfanya biashara unayetaka Mafanikio Makubwa Mtandaoni. Kitendo Cha kutojua Kufanya hicho kitakukwamisha sana kupiga Hatua Mtandaoni. Najua unapata Wateja wachache WhatsApp...
  10. Vanlizerfx__

    Vijana wenzangu mliokosa ajira hii ni yenu

    Hellow wana Jamii Jorums Sisi kama vijana ambao hatuna ajira na hatuna mchongo wowote mtaani basi tubadilike “Wengi hawaheshimu 'vision' (maono) kwa kuwa hawaelewi, wanaoelewa vision ni wenye vision, na wenye vision ni ngumu kukuunga mkono kwa sababu unaweza kuwa Mshindani huko mbele Nlikuja...
  11. Vanlizerfx__

    Natafuta kijana anayejua kutumia computer vizuri nimuajiri katika kampuni yangu

    Habari wana Jamii Forums najua humu kuna vijana wengi hawana ajira na wamesoma vizuri tu, kama kuna kijana amesoma vizuri compyuta science na anaelewa kutumia compyuta vizuri basI amepata ajira Awe anafahamu vizuri system za blockchain zinavyofanya kazi na mshahara ataanza kulipwa 350K kwa...
  12. Vanlizerfx__

    Natafuta mfanyakazi wa ndani aliesoma IT

    Tujulishane kama yupo unaweza nambia hapo chini, atapata mshahara mzuri tu.
Back
Top Bottom