Habari wakuu!
Katika historia ya Mbogwe hajawahi kutokea mbunge bora kama ndugu Nicodemus Henry Maganga ni mbunge ambaye kafanya mengi ambayo hayajawahi kufanywa na mbunge yeyote katika historia ya Mbogwe.
Kafanya mengi ikiwemo.
Kwanza: Kuweza kuleta Mawaziri na Manaibu Waziri wengi, katika...
Nimejitahidi kupitia kidogo rasimu ya katiba mpya ambayo kila mtanzania mwenye utimamu anatamani ipite.....
Sasa naomba maelezo kidogo wakuu kuhusu suala la muungano je kutakuwa na serikali moja,mbili ama tatu... Jambo hili sijabahatika kuliona katika rasimu yetu au SIJAELEWA naomba mtaalam wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.