Bila nidhamu ya pesa kwenye haya maisha,lazima kuna siku lazima utakuja kujutia.
Hiyo ndo hali niliyonayo saivi
Vijana wenzangu hasa ambao bado hatujawa na source ya kudumu ya kupata kipato,tuheshimu sana hela.
Nakosa hata hela ya kula kweli!,majuto kweli ni mjukuu.
Poleni na majukumu wakubwa.
Ngoja niende straight foward kwenye lengo la kufungua huu uzi.
Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kuweza kunikopesha 350K,anisaidie,nitaacha cheti changu original cha form IV,kwa sababu sina dhamana ya kubwa zaidi ya hii,na nitailipa hii fedha kuanzia mwezi wa nne...
Poleni na majukumu wanabodi.
Naomba kushauriwa nifanye nini kwenye hii situation inayonikabili ili niweze kurudi kwenye mstari.
Mimi ni kijana ninayesoma chuo,n a nilibahatika kupata mkopo,ijapokuwa kwenye ada naongeza kiasi fulani cha fedha.Mwaka jana nilijiingiza kwenye biashara hizi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.