KWA NINI WANAWAKE WENGI SIKU HIZI HAWAOLEWI?
Kwa sababu WENGI HUPISHANA NA WAUME ZAO
Kwa mfano :
1.Mwanamke anapigiwa simu kwa namba ngeni, anauliza namba yangu umeitoa wapi? Usiponiambia aliyekupa usinipigie. HAPO UMEPISHANA NA MUME
2.Mwanamke anaingia ndani ya daladala, amekaa na mwanaume...
Sorry wana jF, naomba msaada kwa anayejua je kuna possibility ya mtu mwenye diploma ya ualimu mwenye masomo ya kufundishia ya hesabu na chemistry kwenda kusoma degree Ya engineering kama civil au mechanics kwa kutumia matokeo ya diploma hayo?? Asante
Salaam wana Jf, kama nlivoeleza hapo juu yoyote anaejua dawa ya cancer anichek maana mama angu mzazi anasumbuliwa na cancer ya titi na ametumia dawa nyingi za hospital lakini sioni dalili ya yeye kupona so naombeni msaada kwa wenye dawa au kwa yoyote anae mjua mtu ambaye anaweza kuwa na dawa...
Jamani naelekea kuamini sasa kuwa ajira hazipo kabisa na kwa mtu ambaye hafanyi kazi ati anasubiri ajira namuonea huruma sana maana unaweza kufa masikini kwa ahadi hizi za viongoz wetu, waziri kairuki katika bunge liliopita alipoulizwa swali na mh. Hawa ghasia kuwa ni lini serikalini itaanza...
Mimi ni mwalimu mwenye level ya diploma katika masomo ya kemia na hesabu nataka nikajiendeleze degree kwa course (bachelor of science in chemistry) ambayo siyo ya ualimu, je inalipa na ni field gani naweza kufanya kazi kwa hiyo course? Kwa wataalamu ushauri tafadhali, matusi Hapana kabisa.
Nimeanzisha hii thread maksudi coz kwa kweli mchumba wangu ananinyima raha sana maana yeye yupo anaishi Ifakara kikazi then mimi nipo Singida kikazi but kitu cha kushangaza hataki niende kwake bila kumtaarifu mapema.
Nikienda bila taarifa huwa ni ugomvi mkubwa sana inafikia stage...
Ni ukweli kwamba TCU walibadili vigezo kwa mtu mwenye diploma kujiunga chuo kikuu ambapo kwa mwaka wa masomo 2016/2017 kujiunga na degree mtu alitakiwa awe na G. P. A Ya 3.5 na kuendelea lakini haikuchukua mda wakarekebisha vigezo kutoka G. P. A ya 3.5 hadi 3.0 and above,kitu ambacho...
Ni ukweli kwamba jumuiya ya wazazi CCm imeuza baadhi ya shule zake hususani shule ya sekondari Hedaru iliyopo wilaya same mkoani kilimanjaro.
Kitu cha ajabu ni kwamba wafanyakazi zaidi ya 40 katika shule hiyo bado hawajapata kulipwa stahiki zao ikiwemo malimbikizo ya mishahara yao baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.