Nauliza tu maana nina utata. Kama tulikuwa hatuajiriwi Zanzibar kwenye mambo yaliyochini yao je Wazanzibari walioajiliwa kwenye mambo yaliyokuwa ya muungano zamani watarudi kwao? Nisadieni utata huu
Namuunga mkono WAZIRI Mulugo kwenye hili. Wale wa Haki za Binadamu wanajifanya kama hawaishi Tanzania na kama wao walisoma Ulaya kwamba hawakuchapwa. Naomba tuwachape wawe na adabu mpaka tutakapo fikia kiwango wanachokitaka watu wa haki za Binadamu. Safi sana Waziri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.