Habari wadau,automatic incubator zenye uwezo wa kuengua mayai 48 zinauzwa kwa punguzo la bei,kwa sasa bei ni Tshs 400,000/= na zina warranty ya mwaka mzima!kwa mwenye uhitaji anaweza kuni PM au apige no 0784 784634
Automatic incubator zenye uwezo wa kuengua mayai 48 kwa wakati mmoja zinauzwa!incubator ziko Dar es salaam,tunatoa 1 year warranty,ni Grade A,bei ni Tshs 500,000/=. Kwa mwenye kuhitaji apige namba 0784784634 au anaweza ni PM pia!
Toyota Chaser Gx100 inauzwa,ipo Dar es salaam,iko in a very good condition,namba ni BLP. Price ni 5,500,000/= maelewano yapo kidogo!kwa anaehitaji awasiliane nami kwa 0713670026
Wadau habari,samahanini kwa wale ndugu zangu wenye uzoefu na shule za watoto wadogo (nursery) umri kati ya miaka 4 - 6 naomba mnisaidie kutambua shule nzuri hasa katika maeneo ya Tabata ikiwezekana hata Bunju pia,
Kama nitafanikiwa kujua na nursery schools zitoazo huduma ya boarding kwa maeneo...
Habari zenu Wajasiliamali!
Nakuja tena wadau hasa kwa wale wenye idea juu ya zao na la karanga katika soko na kilimo chake naombeni uzoefu wenu,juu ya zao ilo na changamoto zake hasa katika kulilima na changamoto zake sokoni!
Mimi ni mgeni kabisa katika zao ili,na nimejaribu kufanya research...
Shamba la heka 20 linauzwa Msowero,lipo Kilometa moja na nusu (1.5 Km) kutoka barabara kuu ya lami Msowero - Kilosa,bei ni Tsh 250,000/= kwa heka moja maelewano yapo,shamba ni tambalale,kwa walio serious na kuhitaji wanaweza kuni PM au kunipigia kwa 0713 - 670026 na 0784 - 670026
Wadau hasa kwa wale wanaotaka kuwekeza kwenye kilimo,kuna shamba la heka 70 lipo karibu na mto linauzwa,shamba ilo lipo katika kijiji cha Unone,wilayani Kilosa katika mkoa wa Morogoro,lipo karibu na makazi ya kijiji na shule ya msingi,ni kama kilometa 6 toka barabara kuu ya lami ya Dumila -...
Wadau nauza incubator toka U.K, zipo za aina mbili,aina ya kwanza ina uwezo wa kutotolesha mayai 176 kwa wakati mmoja ambayo bei yake ni 550,000/= na nyingine ina uwezo wa kutotolesha mayai 24 kwa wakati mmoja bei yake ni 300,000/. Incubator zote ni automatic,brand new in box with a receipt na...
Wadau nauza incubator toka U.K, zipo za aina mbili,aina ya kwanza ina uwezo wa kutotolesha mayai 176 kwa wakati mmoja ambayo bei yake ni 550,000/= na nyingine ina uwezo wa kutotolesha mayai 24 kwa wakati mmoja bei yake ni 300,000/. Incubator zote ni automatic,brand new in box with a receipt na...
Wadau habari zenu!kuna mashamba yanauzwa maeneo ya Msowelo wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro!zipo heka kumi (10) zilizopo karibu na mto Msowelo hizi zinafaa kwa ajili ya kilimo cha umuagiliaji na zimesimama Tsh 280,000/= kwa heka na pia zipo heka 50 kwa ajili ya kilimo cha kawaida hizi zina anzia...
Wadau habari!nauza machine ya kutotoa vifaranga (INCUBATOR) toka U.K, yenye uwezo wa kutotolesha vifaranga 24 kwa wakati mmoja na bei ni shilingi laki tatu 300,000/= !kwa mwenye kuihitaji naomba ani PM
Wadau habari!nauza machine ya kutotoa vifaranga (INCUBATOR) toka U.K, yenye uwezo wa kutotolesha vifaranga 24 kwa wakati mmoja na bei ni shilingi laki tatu 300,000/= !kwa mwenye kuihitaji naomba ani PM
Wadau habari!nauza machine ya kutotoa vifaranga (INCUBATOR) toka U.K, yenye uwezo wa kutotolesha vifaranga 24 kwa wakati mmoja na bei ni Tsh 300,000/= !kwa mwenye kuihitaji naomba ani PM
Wadau naombeni msaada kwa wale wenye ujuzi na mambo ya kodi za kuingiza magari nchini hasa magari yaliyozidi miaka 10 toka yatengenezwe kwa maana ya kuanzia 2002 kurudi nyuma!hasa nilikua napenda kujua mjumuisho wa jumla wa kodi kwa magari kama ya Mitsubishi Airtrek,Mitsubishi pajero(GDI),Toyota...
Nipo katika viunga vya mahakama ya mkoa wa Morogoro, nimeona ulinzi mkali umeimarishwa na helicopter ya polisi kutoka Dar es salaam ikiwasili mnamo mida ya saa tano.
Habari ni kuwa helicopter hiyo ilimleta Sheikh Ponda kuja kusomewa mashtaka yake, mashtaka ambayo hayakuzidi hata nusu saa...
Wadau naomba kujuzwa,labda mimi niko nyuma,hivi mgao wa umeme umerudi nchini hasa katika baadhi ya mikoa?nipo mkoani Morogoro kwa wiki ya pili sasa,naona suala la umeme haliko stable kabisa,kila siku umeme lazima ukatwe kuanzia saa nne asubuhi,na kurudishwa kuanzia saa tatu usiku,wanachofanya ni...
Wadau habari!kwa wale wenye kuhitaji mayai ya Kwale yanapatikana hapa Dar es salaam,kwa bei ya 20,000 kwa tray,punguzo lipo kutokana na idadi ya tray utakazochukua,kwa mwenye kuhitaji anaweza kuni PM au apige namba hii 0713670026, Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.