Heshima kwenu wadau,
Naombeni msaada wa link za kuamini za mitandao zinazouza magari toka SA kama zile za Japani ambazo ni za kuaminika na si za kitapeli. Kuna gari aina ya toyota hilux ya mwaka 2010-2012 nataka kuagiza SA maana nasikia bei rahisi, ASANTENI.
Heshima kwenu wadau,
Naombeni msaada wa link za kuamini za mitandao zinazouza magari toka SA kama zile za japani ambazo ni za kuaminika na c za kitapeli. Kuna gari aina ya toyota hilux ya mwaka 2010-2012 nataka kuagiza SA maana nasikia bei rahisi, ASANTENI.
Wakuu heshima kwenu,
Hebu tujadili hizi kampuni kubwa kubwa za kubet huko duniani, hivi hazihusiki na upangaji wa matokeo kweli!? Natoelea mfano Southampton inacheza na Arsenal, kwa kasi ya arsenal watu wengi naipa arsenal ushindi, hawa jamaa nadhani wanaweza kuona mshine zao jinsi watu wengi...
Wakuu kwa wale wazalendo wa kweli katika kukuza viwanda vya ndani nauza aina ya viatu(pichani) kwa shilingi laki moja (100,000) tu kwa jozi moja ya kiatu.....
Karibuni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.