Msaada wa website zinazouza magari Africa Kusini

Hapa kazi tu

Member
Nov 6, 2015
44
8
Heshima kwenu wadau,
Naombeni msaada wa link za kuamini za mitandao zinazouza magari toka SA kama zile za Japani ambazo ni za kuaminika na si za kitapeli. Kuna gari aina ya toyota hilux ya mwaka 2010-2012 nataka kuagiza SA maana nasikia bei rahisi, ASANTENI.
 
Mkuu Habr, ulifanikiwa kuagiza hyo gari africa kusini?

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom