Search results

  1. NGARUKA

    Mke wangu kabeba mimba 3 mfululizo; kiafya haitamdhuru?

    Habari zenu wana JF? Aisee kuna vitu binadamu inabidi tumwachie Mwenyezi Mungu tu jamani. Niliooana na mke wangu 2013 na mwaka huo huo Septemba mimba ikatoka ya miezi mitano mtoto wa kiume. Tukaaa kidogo ikaingia ikatoka nyingine Mei 2014. Baada ya hapo ikaingia tena ikatoka Agosti 2015. Sasa...
  2. NGARUKA

    Licha ya kujipendekeza, Wakongo wawageuka mikia

    Aba BA Tz bamebadilika sana. Mara ya kumwisho tulikujaga tukabapiga matatu kwa likalai. Bakalogota bila tabu kunyavu, Lakini aba ba leo bagumu kwa ndani ya uwanja. Ni mungu anasaidia basisi tunabahatishaga kamoko Bale ba zamani benyewe navaaga nguo kama chupi ya banabake baluoko kwa mwezi...
  3. NGARUKA

    Baada ya kuwashangilia mazembe msikieni huyu

    nyie mikia efusi a.k.a matopeni efusi a.k.a mbumbumbu efusi a.k.a wachumba efusi a.k.a Kikundi cha ushangiliaji efusi a.k.a bunju efusi a.k.a wapanda boti efus a.k.a bunju efusi endeleeni kupanua midomo yenu na kusahau ya kwenu msimu huu tutawageuza nyumbani na ugenin kama msimu ulopita coz...
  4. NGARUKA

    Maamuzi ya kukurupuka yameigharimu stars yangu leo

    KIWANGO KIBOVU,UTEUZI MBOVU,NDO HALALI. Kwa stars yetu hii imekuwa tatizo kubwa,siku ya kufa nyani ... Mkwasa alianza vizuri ila kitendo cha kutojiamini na kutaka kum please Samatta itamgharimu sana. Masupa star wote duniani wamecheza kwanza na makapteni watangulizi mpaka kepten aliyopo...
  5. NGARUKA

    Nyumba na Viwanja vya kununua na kuuza

    Kama kuna mwenye kuhitaji kununua au kuuza kiwanja au Nyumba ndani ya JIJI la Mwanza na Viunga vyake wasiliana nasi upate mahali/sehemu yoyote jijin Mwanza. mawasiliano.0767791405/0789998398. KARIBUNI
  6. NGARUKA

    Nyumba nyakato national mwanza

    Nyumba inauzwa Nyakato National. ina vyumba 4 vya ndan master 1 na vya kawaida v3.dinning room na sitting room. ina vyumba vi3 vya nje na bafu na choo cha nje. iko karibu na s/m gedeli pia karibu na barabara ya Buswelu-mjin. ina HATI,UMEME na MAJI bei yake ni 200mil. maelewano...
  7. NGARUKA

    Wataalamu wa Maabara ya Sekondari wataajiriwa?

    Kuna hawa watu laboratory technician wa shule za sekondari.awali nlisikia wanaajiriwa pamoja na walimu.kuna mwenye kujua zaidi? naona ni walimuti sasa ndo habari ya mjin
  8. NGARUKA

    Pata nyumba na viwanja jijini Mwanza

    Kama unahitaji nyumba, viwanja, magari, vyumba, frem za maduka, nyumba za stoo n.k. ndani ya jiji la Mwanza wasiliana nasi kwa Kwa sasa tuna: 1.Nyumba yenye vyumba vinne 4, master 2, vya kawaida 2, choo ya public, jiko, dinning room, sitting room, jiko na stoo vya nje. Nyumba ya nje yenye...
  9. NGARUKA

    Mtumbwi unauzwa Mwanza

    Wanajukwaa kama kuna mtu anahitaji mtumbwi wa kufanyia biashara ya dagaa kutoa visiwani kuleta mwalon upo na unatumia injin. uko katika hali nzuri na unafanya kazi mpaka leo kutoa dagaa visiwani kuleta mwalon Kirumba. kama uko interested njoo pm. bei maelewano picha ntaweka. Asanten
  10. NGARUKA

    Rais karudia usemi wake Dodoma leo

    Wakati waalimu walipokuwa wanaisumbu serikali kwa kugoma-goma,Mgaya akawaandaa kugoma nchi nzima. Rais alisema usemi kuwa waalimu watumia akili ya MBAYUWAYU "akili ya kuambiwa,ongeza na ya kwako" walimu hawakugoma mpaka leo. Leo wakati anakabidhiwa katiba amerudia na kusema wapo wasemaji wengi...
  11. NGARUKA

    Wawakilishi wa TFF, Azam nje

    Wale wawakilishi wa TFF kwenye bonanza la Musonye wametolewa kwa mikwaju ya penati. Huko nadhani hongo zilidhibitiwa la sivyo wangechukua kombe.Mambo yameenza kuwa mabaya hata ligi kuu wataoonga lakini hawatashinda yaaani 'WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA'
  12. NGARUKA

    Mimi ndiye mchawi wa Taifa Stars

    Ndgu Watanzania nmeamua kuwa mkweli kabisa. Baada ya taifa Stars kupewa yale MAJEZI na Adidas nlchukizwa mno kupokelewa na hao viongozi wetu wa TFF. nlipaza sauti yangu kupitia mitandao ya kijamii kama vile Facebook,blogs na JF lakin sikusikika na kweli timu ikapewa yale majezi. Hv jamani ni...
  13. NGARUKA

    Maonyesho ya Nanenane Nyamhongoro Mwanza

    Maonyesho ya nanenane hapa nyamhongoro Mwanza yaanza lini? kuna kitu nataka kwenda kununua. Si unajua mambo ya punguzo. Najua hapa ni kila kitu,majibu nitapata tu.
  14. NGARUKA

    Vifaranga wa kienyeji Mwanza

    jamani natafuta vifaranga vya kuku wa kienyeji hapa Mwanza city,nitapata wapi? msaada please
  15. NGARUKA

    Vifaranga wa kienyeji mwanza

    jamani nataka kuanzisha ufugaji wa kuku wa kienyeji,naomba mwenye kujua wapi naweza pata vifaranga waliochanjwa kwa hapa Mwanza. shukrani kwenu
  16. NGARUKA

    TFF na Azam Group Wataua soka letu kabisa

    Jamani kama umefuatilia tuzo za VPL jana,kuna kitu kilicho nishangaza hasa tuzo ya Mchezaji bora wa ligi et ni Tchetche wa Azam. kulingana na watu aliopambanishwa nao akina Matogolo ni halali yake lakini TFF na Azam hawakuona nominee wengine bora. Mfano la Liga umchukue Neyma,umpambanishe na...
  17. NGARUKA

    King'amuzi cha Continental

    Jamani mimi ni mteja wa Continental decoder,jamani hawa jamaa hv kweli wako siriasi na wanachokifanya. 1. Page yao Facebook wameitelekez wanaingia pale kurekebisha bei ya decoder kisha wanasepa,hawajibu comments za wateja wao kabisa. 2.Namba zao za simu hazipatikani mpaka kesho,kila siku...
  18. NGARUKA

    Chama Cha Upinzani BJP chashinda Uchaguzi India

    jamani niko live naangalia live Mgombea kupitia chama cha upinzani BJP,Mr. modi anawasili makao makuu ya chama kuongea na waandishi. BJP wamekishinda chama tawala Congress kupitia mgombea wao Mr. Modi ndani ya miaka 67. Chadema wakiacha danganya toto wanaweza fanya haya la sivyo? Wasubiri kesho...
  19. NGARUKA

    Ngosha nae kaamua kuingia huku

    Nlipokuwa chuo kuanzia 2010 rafiki yangu mwanyeji wa Dar alipenda sana kutumia JF wakati huo mimi nikitumia sana Mjengwa. Basi bwana tukaambukizana mi pia nikaapenda Jf na kwa mjengwa. Baada ya kutumia kwa muda mrefu sasa nmekuja mzimamzima. Mwadela member wote wa JF
  20. NGARUKA

    Kuku wa kienyeji:msaada please

    nina mambo nataka kusaidiwa kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji. 1.Kuku wangu wanataga mahali pamoja,je hawatanisumbua wakitaka kuatamia? 2.Nipeni uwiano wa Majogoo wangapi kwa majike,alafu mbona majogoo yanafukuzana tu na mzigo hayapigi? 3.Naombeni mnifhamishe dawa angalau ambayo ni "general...
Back
Top Bottom