CHADEMA inazidi kuchanganyikiwa uwepo wa katibu mkuu wa CCM hii ni dhairi sasa wanataabika uwepo wake
1; hotuba tatu za cdm bungeni zimedhihirisha tosha kuwa wanamuogopa maana walishindwa kuongea mambo ya muhimu wanaanza kutoa shutuma za uongo ila mwisho wa yote wananchi wamewapuuza
2;Dr Slaa...
Dk Nchimbi ajibu mapigo
Akijibu tuhuma hizo, Waziri Nchimbi alisema: Ukiona mtu anasimama na kuamua kusema kuwa hakuna kinachofanywa na wizara kuhusu masuala ya ujangili, ni wazi uelewa wake unakuwa na utata mkubwa.
Alisema hoja zilizojengwa dhidi ya Kinana ni uongo mtupu... Nimejaribu...
Wananchi wa Dodoma jana wamepuuza ujio wa CDM kuudhihirisha haya kutoudhuria kwa wingi na hata waliodhuria nao baada ya mkutano uliofanzika WAJENZI AREA C nao walianza kurumbana wengine wakidai ni chama cha uchochezi na wangeni wakitaa. ingawa walitumia muda zaidi ya masaa 9 kutangaza ujio wa...
Vijana wengi tunaitaji mabadiliko ya KIUCHUMI,KISIASA NA KIJAMII ila CDM sio chama sahihi cha mabadiliko nasema haya kwa baada kufanya uchunguzi wa kina na kugundua kuwa hiki ni chama ambacho kinawatumia vijana kwa kuwapotosha ni si kuwajenga kupambana na Changamoto! Juzi tu Jijini Mwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.