Recent content by zimmerman

  1. zimmerman

    Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

    Kuna kitu nyuma ya pazia kinaendelea.
  2. zimmerman

    Siasa Michezoni (Simba vs Al Ahly): Azam TV wanapaswa kuonywa, kuadhibiwa au kufungiwa!

    Mi ni pro-Israel lakini linapokuja suala la Azam Tv kuonyesha bango linalomsupport mpalestina sioni ukakasi wowote. Azam tv ni private enterprise, wanaweza kuonyesha chochote kinachojitokeza uwanjani hali mradi wana haki ya kurusha matangazo ya mpira uwanjani.
  3. zimmerman

    Israel itapeleka Ukombozi Iran, Iraq, Syria na hata Jordan

    Usipende kukariri stori line ya upande mmoja unaoegemea. We umeegemea marekani na naona unabeba kila usemi unaotoka Washington. Hivi wewe kwa akili yako mpalestina angekuwa wewe usingefanya kama kile alichokifanya Hamas? Hamas, Hezbollah, Iran wote wanawahesabu wayahudi waliopo Israel kama nchi...
  4. zimmerman

    Israel itapeleka Ukombozi Iran, Iraq, Syria na hata Jordan

    Israeli ya sasa na ya biblia in utofauti gani? Hii ni sawa na kusema waafrika wa zama za kale ni tofauti na waafrika wa leo. Kila kabila humu duniani lime "evolve" kimwili, kiroho na kitabia kutokana mabadiliko mbalimbali yaliyoikumba dunia toka enzi na enzi hadi leo hii. Mwarabu wa enzi za...
  5. zimmerman

    Israel itapeleka Ukombozi Iran, Iraq, Syria na hata Jordan

    Kwa vita kati ya wayahudi na maadui zao mara nyingi/zote huwa nakuwa upande wa myahudi (nataka myahudi ashinde) kwa sababu ninazozijua mimi, kubwa zaidi ni kwamba wayahudi ni wachache sana duniani ukilinganisha na mabilioni ya waarabu. Sasa ukiwaua dunia inakuwa imepoteza kabila moja la msingi...
  6. zimmerman

    Hivi viongozi wa Tanzania wana sheria zao wenyewe zilizo tofauti na sie wengine?

    Mt 20:25-28 SUV Lakini Yesu akawaita, akasema, Mwajua ya kuwa wakuu wa Mataifa huwatawala kwa nguvu, na wakubwa wao huwatumikisha. Lakini haitakuwa hivyo kwenu; bali mtu ye yote anayetaka kuwa mkubwa kwenu, na awe mtumishi wenu; na mtu ye yote anayetaka kuwa wa kwanza kwenu na awe mtumwa wenu...
  7. zimmerman

    Hudumia Mwanamke unayeishi naye. Acha kiherehere utakuja kulizwa kibwege

    Tatizo linakuja kwamba mwanamke awe mke asiwe mke wote watatafuna hela za mwanaume. Mwanaume ameumbiwa kumwaga, tunamwaga wapi hilo linategemea mambo mengi ikiwemo muda, fursa na uwezo. Mwanamke emeumbiwa kupokea anapokea za nani wanajua wao. Mi nafikiri tusipangiane namna ya kuishi.
  8. zimmerman

    Life begins at 40 Vs Midlife crisis

    Japo under 40 wanajiona bado vijana na pengine wana fursa kibao mbele yao lakini at 40+ unakuwa katika nafasi ya kutengeneza fursa kwa wale walio chini yetu kiumri. Hizi umri hazipaswi kuwa vita, tunategemeana sana.
  9. zimmerman

    Life begins at 40 Vs Midlife crisis

    Well I am 41. I think naweza kusema kidogo. Kwanza, ni neema ya Mungu kwamba nimeweza kufika huu umri. Pili katika umri huu nimeweza kuwa na familia nikimaanisha mke na watoto. Tatu walau maisha ya kawaida ya kula na kunywa na kusomesha watoto shule zinazoitwa "english medium" hayasumbui. Nne...
  10. zimmerman

    Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

    Hapa mama kaanza kuwa yeye sasa. Rais Magufuli alikuwa akiongoza kwa kutumia vipaji vyake vya asili na ndio maana alikuwa kiongozi bora kabisa hii nchi iliwahi kupata. Kitendo cha mama kuanza ku"question" motives za wanasiasa zinaonyesha jinsi ambavyo ameanza kung'amua kuwa usipotumia common...
  11. zimmerman

    Baada ya Miaka 2, natamani Ndoa yangu ivunjike

    Mi ndoa yangu ina miaka 13 na tuna watoto wa nne, wa mwisho ndo ananyonya now. Wife wangu nampenda balaa... but nilimsaliti mara kadhaa hata tukiwa bado wachumba na kwa ndoa nshachepuka mara kadhaa pia. Nikubaliane na wewe, siku akinifuma laivu nachepuka am sure ataua. Hizi ndoa zimesimama...
  12. zimmerman

    Baada ya Miaka 2, natamani Ndoa yangu ivunjike

    Hivi wewe umeolewa kweli? Kama umeolewa are u saying hujawahi salitiwa na mme wako? Mi ni me na naeza kukwambia kati ya me kumi waliooa wa umri from 30-50 mmoja tu ndo hachepuki. Ni kweli kusalitiwa kunauma lakini sioni kama kuchomoka kwa ndoa ndo ufumbuzi wa hili jambo. Sema kuna kuchepuka na...
  13. zimmerman

    Hivi kuna ubaya mtu akiwa single

    Uzeeni kampani ni ya muhimu sana kuliko hata pesa kwa mwanamume. Na kampani ya maana sana uzeeni ni mke wako wa ujanani.
  14. zimmerman

    Hivi kuna ubaya mtu akiwa single

    Well, hakuna shida kuwa single. Kwenye dini kuna mapadre, masister, n.k.... Ninavyoelewa lengo la ndoa ni ushirikano (partnership) na kukidhiana madhaifu (complementation). Kama unaweza kujikamilisha kwa mambo yote basi si lazima ndoa. Usisahau na kampani ya uzeeni pia.
  15. zimmerman

    Tupeane stori tuliovumiliwa na wapenzi wakati tuko chini sana.

    Stori angu ipo hivi. Kwa asili sikujaaliwa kuwa na mwili lakini Mungu alinijaalia uwezo wa darasani. So nimemaliza six meenda zangu Dar kutafuta maisha nikakutana na huyu dem bonge bonge hivi jirani na sehemu nilipofikia. Yule dem alikuwa bff na ndugu yangu sister kwa ndugu zangu nilipofikia. Mi...
Back
Top Bottom