Recent content by ZASHI

  1. Z

    Kuhusu Muslim University Morogoro (MUM)

    Hakuna Ukwel Wowote Elimu Inayotolewa Mum Ni Sawa Na Vyuo Vingne Course Ni Zile Zile. Na Sehem Yeyote Kwenye Taasisi Za Din Lazima Watu Watafunzwa Kwa Maadil Ya Din Yao. Ndicho Kinachofanyika Mum Na Sio Kuwatoa Maustadh Bal Waalim Wenye Maadil Mazur Ya Dini.
  2. Z

    Kuhusu Muslim University Morogoro (MUM)

    Samahan Wakuu Kwa Yeyote Atakayependa Kufaham Undan Wa Chuo Cha Mum Ni Bora Aende Kwenye Website Yao Www.Mum.Ac.Tz Coz Hum Ndan Kuulizia Hko Chuo Ni Kuleta Mtafaruk.
  3. Z

    Ujumbe kwa wanafunzi wa vyuoni

    well done! umezungumzia something good, dt can help them in the struggle of life. ujasiriamali ni kitu kzr san, ht bda ya kupata ajira kwan inaongeza kipato so ukiwa chuo unaweza kufanya biashara k.m.v. kuuza vocha, viatu. n.k
  4. Z

    Watanzania Wenzangu Tuzikumbuke Shule Zetu za Msingi Tulizosoma

    nawatafuta waliosoma mzambarauni- ilala tufahamiane ili tujipange kuwasaidia ndgu zetu kitaaluma
  5. Z

    Mwanamke stara ni aibu kwa mtoto wa kike kulazimisha mapenzi

    astaghafir-llah radhwiim, heb mlaani shaitan, kwan nyote wawili mna makosa lkn ww unaweza kuwa nalo zaid kwa7bu 3,1) umesema uongo kwa hyo bint. 2)umeahid halaf hujatimiza ahad 3) umezin, halaf unajitangazia. USHAURI WA BURE; TUBU KWA MUNGU KBL UMAUT
  6. Z

    Nampenda lakini hafahamu

    habar zenu wenzangu, msema kweli mpenzi wa mungu nimetokea kumpenda mwanaume fulani ukwel wa kumpenda ila kinachonisikitisha hata hatambui hilo kwan hata salam hanipi na kumuambia ukwel naogopa. hivyo nabaki naumia mwenyewe. je wenzangu nifanyaje?
  7. Z

    Ukweli wangu umeniponza, najuta

    umefanya vzri kumwambia ukweli mkeo kwa7bu laiti ungekufa bila kumwambia ungepata dhambi 2 ya kumdhulumu mkeo na kuzn. hivyo sasa fanya toba kwa mungu wako akusamehe ya kuzn. kuhusu mkeo mwache mpk hacra zitakapomtoka ila kkubwa inakubd ujpendekeze.
  8. Z

    Naomba mawazo yako yanisaidie

    kwanza pole sana dadangu kwa kuwa disappointed juu ya huyo mwanaume ambaye anakupa mawazo mpaka unawaza kutoa mimba, mi nakushauri usitoe mimba yako kwasababu kufanya hivyo ni dhambi mbele ya mungu.
  9. Z

    KIWIRA na MCHUCHUMA: A Campaign To Reclaim...

    Naomba riwaya ya mizimu ya watu wa kale
Back
Top Bottom