Je mshahara wa diploma ya shule ya msingi na sekondari mshahara unalingana? naomba mnisaidie kama hujui ni bora ukae kimya kuliko kunidanganya.
Maana nataka kufanya maamzi ya kipi ni some.
embu tusaidie walimu ili tupate wa kubadirishana nao kama zaman. kipengele chenyewe kiko kwenye jukwaa la elimu section ile ya kubadilishana vituo vya kazi. kama huamin ingia upost uone haikubali. mbaya zaidi post zilizopo zimekaa kwa wiki tatu sasa. too sad.
sehemu ya kuandika kama mtu anataka kubadilishana vituo huwezi kupost chochote na thread ambazo zipo zina week tatu ni zile zile, Why?
Kazi yenu nini? embu toen taarifa tatizo hili lishughulikiwe haraka!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.