Dah.. ukiangalia mtililiko huu kuanzia bunge la 9 kila spika alihudumu miaka 5 tu, inawezekeana ndugayi nae alitakiwa aishie 2020 isije kuwa baadhi ya vitu vinatokea kwa sababu ...hii imekaaje kwenye ule ulimwengu mwingine Mshana Jr
Habar mkuu, hongera kwa kufikiria kutoka katika kuajiriwa ...Ila kabla ya kukushauri zaidi naomba nikuulize
1) Unatemegmea hela yako utakayoipata kutoka mifuko ya hifadhi ya jamii ndio uitumie kuwekeza kwenye huo mradi unaoufikilia?
2) Ulishawahi kufanya kilimo Cha biashara katika scale yoyote...
Shukran mkuu, topic yako imenikumbusha mbali , kuongezea tu ... Carbon monoxide ina affinity 200x kubond na haemoglobin kuliko Oxgen , yaan Kama oxygen na carbon monoxide zitafika kwa pamoja haemoglobin ita prefer kubond na carbon monoxide kuliko oxygen unless concentration ya Oxgen iwe kubwa
Ndio ashakutongoza hivyo ...wengine ndo huwa style zetu za kutongoza , ni Kama vile unakimbiza mwizi kimya kimya atapiga kelele mwenyewe Kama wewe ulivyokuja kupiga kelele huku na huwa inafanikiwa ...sasa kama nawe umempenda endelea kumsalimia tu one day atakuita muende sehemu ndo itakuwa...
Alikuachia number kwenye seat ; hujasema kama ulimpatia number yako; kama sijakosea wewe ndio ulianza kumpigia baada ya kuachana ...mbona ulimtafuta ulitegemea akuambie nini labda?
Habar wakuu; kwa wenye uhitaji wa submersible water pumps complete set +motor ( zimetumika chini ya mwaka Mmoja) kulingana n.a. sifa orodheshwa hapa chini
*Manufacture - Leo, 7.5kw , discharge 16m-cubic/hr, country of origin -China , Price 5,000,000tsh (mpya)
*Manufacture...
Habar mkuu; nimepanda Assilla Dumila Morogoro ina kama week tatu sasa ...kulingana n.a. uzoefu wako wa eneo Hilo changamoto gani nitegemee upande wa ukuzaji shambani ; n.a. vipi wakati wa Uvunaji soko linaweza kuwa n.a. bei ipi
SHUKRAN
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.