Kwa kiasi flani magufuri amefanikiwa kukijenga chama,kitu anachoniboa ni Ile kuonesha hasira za wazi kwa upinzani Na kauli zake za kuwashughulikia. Ukweli chama kilikuwa kama cha wanafamilia za watu flaniflani...
Je,hali ya mwanamke kuwa na matiti makubwa wkt hajawahi ata kunyonyesha ni ishara gani au afanye nini ili yapungue???, maana me siyapendi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Naanza kutomwelewa Kakobe. Kuna wkt nlikuwa nampenda vle alikuwa hajichanganyi sana kwenye mambo ya ki serikali,alikuwa c mtu wa kujipendekeza kwa watawala na wanasiasa bt now dayz naona kama kila wakiitwa viongozi wa dini yumo2. Sasa cjui amekumbwa na nini???
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa ngoja tufanye zilikuwa tano, je ndo inabadilisha ukweli kuwa alishambuliwa???
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vituko mtupu, cjui Ni nini hasa??,nliwshiona watu wanaichachafya sana serikali mf kina Polepoli, kina Mkumbo na hawa kina Waitara wa ukonga. Ss mtu anabadilika mpk unabaki mdomo wazi aseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa si uadui,ieleweke kuwa haitokaa itokee duniani wote tukaishi ktk mawazo sawq, inasikitisha tna ni ushamba wa hali ya juu kumtesa au kujaribu kufunga midomo ya watu wanaokuja na mawazo tofauti hata kwenye maisha yako binafsi. Sembuse nchi yenye watu zaidi ya mil 20
Sent using Jamii Forums...
Nlijua utaichambua ki taalamu kumbe ndo kwanza unaleta maneno ya kihuni na ki shabiki... huna point ya msingi apo[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]huana eenh,me mambo ya siasa simo kabxa. Ila nachojua kuna makundi ndani ya chama. Kuna kundi la upande wa mbunge (Shabiby) nq upande wa mkuu wa wilaya. So hawa jamaa ni wafuasi wa mbunge na wote ni makada wa ccm, kumbe kulikuwa na mtu wa upande wa mkuu wa wilaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.