Search results

  1. Xhaks

    Uzi maalum kwa wauzaji wa vifaa vya simu

    Mkuu hio mil15 ni pamoja na mtaji na nauli ya go an return?,na je hapo utapata faida kweli?
  2. Xhaks

    Nawaambia uchumi wa Tanzania upo juu kuliko wa Marekani wananibishia

    Sawa bhuanaa,Tz tuko juu asee..[emoji848] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Xhaks

    CCM inatoka kwenye mikono ya familia fulani na kurudi katika hali na misingi ya kuanzishwa kwake

    Kwa kiasi flani magufuri amefanikiwa kukijenga chama,kitu anachoniboa ni Ile kuonesha hasira za wazi kwa upinzani Na kauli zake za kuwashughulikia. Ukweli chama kilikuwa kama cha wanafamilia za watu flaniflani...
  4. Xhaks

    Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

    Nmecheka hapo kwa refalii Mkapa..haaahah
  5. Xhaks

    Hakuna Pesa Ndogo

    Pesa inahitaji nidhamu2, c wingi wa pesa... Mwenye sikio Na asikie
  6. Xhaks

    Ni aibu msomi kufanya biashara ambayo hata asiyesoma anaweza kufanya

    Bro,hapa watu walishashtuka aseee...sio ki rahc kama unavodhani mkuu...
  7. Xhaks

    Maziwa kujaa sana baada ya kuachisha

    Je,hali ya mwanamke kuwa na matiti makubwa wkt hajawahi ata kunyonyesha ni ishara gani au afanye nini ili yapungue???, maana me siyapendi... Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Xhaks

    Bishop Zachary Kakobe: Mimi si CCM wala CHADEMA, sina kati ya chama cha Siasa hata Kimoja

    Naanza kutomwelewa Kakobe. Kuna wkt nlikuwa nampenda vle alikuwa hajichanganyi sana kwenye mambo ya ki serikali,alikuwa c mtu wa kujipendekeza kwa watawala na wanasiasa bt now dayz naona kama kila wakiitwa viongozi wa dini yumo2. Sasa cjui amekumbwa na nini??? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Xhaks

    Spika Ndugai: Lissu hana kibali cha kuishi nje ya nchi, amtaka arudi mara moja Tanzania

    Umeua bro,hakuna ulichobakisha. Hvo vyote kwa makonda ni pacha. Makonda anaujua mchongo mzima wa hii insue Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Xhaks

    Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa ngoja tufanye zilikuwa tano, je ndo inabadilisha ukweli kuwa alishambuliwa??? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Xhaks

    Je, Tundu Lissu akiamua kuunga mkono juhudi za serikali ya Rais Magufuli na kuomba kujiunga na CCM, atapokelewa?

    Ni vituko mtupu, cjui Ni nini hasa??,nliwshiona watu wanaichachafya sana serikali mf kina Polepoli, kina Mkumbo na hawa kina Waitara wa ukonga. Ss mtu anabadilika mpk unabaki mdomo wazi aseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Xhaks

    Je, Tundu Lissu akiamua kuunga mkono juhudi za serikali ya Rais Magufuli na kuomba kujiunga na CCM, atapokelewa?

    Nkimkumbuka dr Slaa mpk najikuta cna hamu na mwanasiasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cjui umewaza nini mkuuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Xhaks

    Freeman Mbowe kawa chambo cha Serikali kufurahisha aliyewateua

    Siasa si uadui,ieleweke kuwa haitokaa itokee duniani wote tukaishi ktk mawazo sawq, inasikitisha tna ni ushamba wa hali ya juu kumtesa au kujaribu kufunga midomo ya watu wanaokuja na mawazo tofauti hata kwenye maisha yako binafsi. Sembuse nchi yenye watu zaidi ya mil 20 Sent using Jamii Forums...
  14. Xhaks

    Masikitiko : Arsenal itamaliza nje ya Top 6

    Nlijua utaichambua ki taalamu kumbe ndo kwanza unaleta maneno ya kihuni na ki shabiki... huna point ya msingi apo[emoji41] Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Xhaks

    Mbaroni kwa matumizi ya Lugha ya Matusi dhidi ya Mkuu wa Wilaya

    [emoji23][emoji23][emoji23]huana eenh,me mambo ya siasa simo kabxa. Ila nachojua kuna makundi ndani ya chama. Kuna kundi la upande wa mbunge (Shabiby) nq upande wa mkuu wa wilaya. So hawa jamaa ni wafuasi wa mbunge na wote ni makada wa ccm, kumbe kulikuwa na mtu wa upande wa mkuu wa wilaya...
  16. Xhaks

    Mbaroni kwa matumizi ya Lugha ya Matusi dhidi ya Mkuu wa Wilaya

    Mkuu,kuna ushahidi wa sauti zilizorecodiwa nq zimetrand sana kwq group whatsap kabxa... Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Xhaks

    Mbaroni kwa matumizi ya Lugha ya Matusi dhidi ya Mkuu wa Wilaya

    Mkuu,uko gairo hapa au??,maana hii kesi ilikuwq kdogo nihusishwe..[emoji23][emoji23][emoji23] maana siku hiyo tumepiga vyombo htr,nlivoona wqnaanza kuleta mambo za siasa nkasepa,afu asubuhi kuamka ndo nasikia kisanga [emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeee Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Xhaks

    Njoo tujifunze namna ya kupanga , kuweka malengo na kuyafikia.

    Niunge kwq 0657188361 Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Xhaks

    Njoo tujifunze namna ya kupanga , kuweka malengo na kuyafikia.

    Hio group whatsap inalipiwq kwanza au..??? Sent using Jamii Forums mobile app
  20. Xhaks

    Local chanels vipi jamani ndiyo basi tena

    Me king'amuzi kimekaa2 geto kama bosheni,cjalipia mda ata nmeshasahau mara ya mwisho ilikuwa lini,nmevuta kebo ata sina habari na tbc yao hio Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom