Recent content by wang'ambo

  1. wang'ambo

    Mchungaji Anthony Lusekelo 'Mzee wa Upako' awaombea kifo waandishi wa habari

    Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo, maarufu kwa jina la Mzee wa Upako jana amesema waandishi wote wa habari wanaoandika habari za kumchafua, watakufa kabla ya kufika Machi 2017. Kauli hiyo ameitoa ikiwa ni mwendelezo wa mahubiri yake ya nne katika wiki ya tatu mfululizo...
  2. wang'ambo

    Picha4 Basi la NewForce toka Tunduma lilivyofanya ajali leo

    BREAKING NEWS! TAARIFA ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE. NEW FORCE YA KUTOKA TUNDUMA KWENDA DAR IMEGONGANA USO KWA USO NA LORI MAENEO YA IGULUSI. KWAHIYO WENYE NDUGU WALIOKUWA WAKISAFIRI LEO KUTOKA TUNDUMA AU MBEYA KWA NEW FOECE, FANYENI MAWASILIANO NA NDUGU ZENU HAO KUWEZA KUJUA USALAMA WAO
  3. wang'ambo

    TAHADHARI: Utapeli mpya waingia makanisani/misikitini

    Yaani nibora kirudi aiseh huwa kinatufundisha mengi kwakweli
  4. wang'ambo

    TAHADHARI: Utapeli mpya waingia makanisani/misikitini

    Habari ndio hivyo kiukweli jamaa wanatesa sana
  5. wang'ambo

    TAHADHARI: Utapeli mpya waingia makanisani/misikitini

    Habari za leo wanaJF, napenda kuwajuza ulimwengu ulipofika wadau, Na hii ni baada ya ajira kuwa mziki, kuna aina ya utapeli unaoendelea sasa hivi katika makundi/taasisi za kidini na ngo's flani flani, jana baada ya kutoka ibadani niliandikiwa msg toka namba flani akidai yeye ni mtangazaji toka...
  6. wang'ambo

    Hussein Pambakali kizimbani kwa utapeli wa 75ml

    hahaa mkubwa unasema nguo zenyewe feki nini!!
  7. wang'ambo

    Hussein Pambakali kizimbani kwa utapeli wa 75ml

    MMILIKI wa maduka ya nguo Jijini Dar es Salaam,Hussein Mkangala (38) maarufu 'Hussein Pamba Kali' amefunguliwa mashtaka ya kesi ya madai baada ya kushindwa kulipa Sh.Milioni 75 alizokopa kutoka kwa Anna Kiabi. Shauri hilo lilitajwa leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni ambapo upande wa...
  8. wang'ambo

    Picha: Mlevi anusa kifo akijaribu kuvuka upande wa pili wa barabara

    Ni mwanaume mmoja jina halikuweza kupatikana maramoja amenusa kifo akiwa chakali (kalewa) muda mfupi uliopita majira ya saa12 jioni leo December 01 katika H/mji Kahama alipokuwa akijaribu kuvuka barabara kuu akitokea upande wapili bila kuchukua tahadhari.
  9. wang'ambo

    Mganga atuhumiwa kumbaka mgonjwa wake, apigwa mpaka kufa

    Wananchi wenye hasira kali wamemuua mganga wa kienyeji aliyejulikana kwa jina la Kashinje Kashinje(55), mkazi wa kijiji cha Singita kata ya Usanda wilayani Shinyanga kwa kumshambulia kwa silaha za jadi wakati akijaribu kumbaka mwanamke mwenye umri wa miaka 20 (jina linahifadhiwa) aliyefika...
Back
Top Bottom