Recent content by wanatamani

  1. W

    Naomba rejea ya kesi za aina hii kama zipo

    Tarehe 26/3/1992 marehemu babu yangu alimuuzia *M* sehemu ya ardhi HEKARI 6 katika eneo lake la shamba lake. *M* alipima eneo alilouziwa na kuweza kumiliki kisheria mnamo mwaka 1996 na kupata TITLE DEED Yenye ukubwa wa hekari 4.6 ( kati yahekari 6 alizonunua kuna sehemu ina jaa maji) akajenga...
  2. W

    Leave Whatsapp group bila members wengine kujua

    Leave WhatsApp Group Without Notification The best way to leave a WhatsApp group without notification is to opt for the mute or disable group notifications. This way, you will never be prompted about the messages being communicated in the WhatsApp group. You can also turn on this notification...
  3. W

    WAKILI WA KESI YANGU KUWA UPANDE WA NINAYE MLALAMIKIA

    naomba kujuzwa kuna taratibu gani wakili anayekusimamia kesi, anapokufanyia udanganyifu wa tarehe za kesi kwa kupeleka mbele zaidi ,ili kufanya usihudhurie mahakamani na kusababisha kuonekana haufiki? kwa kumuwezesha ninaemlalamikia kupata ushindi (yaani kuwa upande wa ninayemlalamikia kwa...
  4. W

    INAUZWA Epson L800

    650000
  5. W

    INAUZWA Epson L800

    Epson L800 nzuri kwa kuprint picha na mahitaji mbalimbali inatumia external ink ipo vizuri kama unahitaji ni sms 0715387545 au piga simu TSH 650000
  6. W

    Natafuta printer Epson L800 Dar es Salaam

    Njoo nikuuzie ipo full WITH CD PRINTING TRAY & ID CARD TRAY PIGA NAMBA 0715387545
  7. W

    Nahitaji circuit ya LG G3 kwa anayeuza tafadhali

    ya note 1 ipo njoo ofisini 0715387545 kigamboni
  8. W

    Nahitaji circuit ya LG G3 kwa anayeuza tafadhali

    IKITOKEA NITAKUCHECK NIMEBAKIWA NA G4 LG TOUCH HAIFANYI KAZI SIMU NZIMA IPO SOKONI
  9. W

    Mafunzo ya kuflash simu (SOFTWARE) bure

    Tungi bakwata Hospital tunatazamana nayo
  10. W

    Mafunzo ya kuflash simu (SOFTWARE) bure

    nimepokea ushauri wa watu wote , naomba tuzingatie wadau elimu ya kuflash sio nyepesi kiasi mtu kusema anaweza kuelekezwa kwa kutumia whatsapp. labda tu baadh ya vitu kwa mtu amabaye tayari ameshaanza hiyo kazi maana kila siku vitu ni update na matatizo ya simu yanaongezeka. naomba kwa ambao...
  11. W

    Mafunzo ya kuflash simu (SOFTWARE) bure

    nipigie simu tutaelekezana namna ya kufanya
  12. W

    Mafunzo ya kuflash simu (SOFTWARE) bure

    upo wapi ndugu naweza kukusaidia hata ukiwa mbali muhimu uwe na internet
  13. W

    Mafunzo ya kuflash simu (SOFTWARE) bure

    kama umeshaanza kuflash na una idea naweza kukusaidia ukiwa huko huko kupitia online
  14. W

    Mafunzo ya kuflash simu (SOFTWARE) bure

    nafundisha pia kwa walio mbali online ila utalazimika kulipia nahitaji kunyanyuana na vijana wenzangu . naweza somesha remotely ukiwa na intertnet
  15. W

    Mafunzo ya kuflash simu (SOFTWARE) bure

    unaweza pia , kujifunza ila utakosa mazoezi unapotoka darasani karibu ukihitaji tuma email utapata ratiba
Back
Top Bottom