Tanzania wapinzani wapo jela makosa ya kubabikiwa tu, chaguzi iliopita watu wasionahatia waliwekwe jela na wengine kuwauwa kinyama! Kwani tanzania yenye amani na utulivu ya nyerere ipo wapi. Hapo Tz moto wa chini kwa chini unaendelea kuchochewa na serikali yako 😳!
😂 😂 😂 😂 msijali wadau. akili zetu hapa tz tumepekua tukamkabidhi store keeper!! tatizo la kupumua ni corona lakini hatuwezi tukatamka mpaka mfalme wetu akubali kwanza!!
Tanzania sisi ni koloni la waarabu, ila waziri wetu kapotea njia ufaransa na bakuli letu la omba omba....
Aneth Stanley
@AnethStanley
Huyu anakuwa na akili akiwa abroad tu, akifika Tanzania tu, anavua Barakoa. Halafu anatukana mabeberu, mtaona nyie tulieni, na ndo mtajua kuwa NJAA HUPOFUSHA...
Duh.....Ila sisi tanzania hatuna corona, kubanwa mapavu kiasi tu.....
Robert Alai, HSC
@RobertAlai
Tanzania authorities actually picked a COVID-19 patient and put him in a press conference to prove what point? See the two unprotected medics. Vodoo science is at its peak in TZ.
Tupo imara tanzania. changamoto ya kupumua iwepo isiwepo tupo ngangari! Rona tu ndio hatuna :p :p :):):):)😂😂😂!!
Ati mabeberu sie tanzania hatuwafahamu! mnyama gani huyu?
Aneth Stanley
@AnethStanley
Huyu anakuwa na akili akiwa abroad tu, akifika Tanzania tu, anavua Barakoa. Halafu...
Tanzania beberu hatuwamini....niwaongo, wanafuata utajiri wetu, hawatupendi, chanjo zao ni Hatari na barakoa zao zimebeba virusi 🦠 . Ziwesi msikiza mie. Pili Tanzania hamna rona ni changamoto ya nimonia ya kawaida tu maombi yetu ya siku tatu kwa mpigo inatosha😳!
MMMMM....japo sijamkiza wenzako kwa video, lakini mabeberu sihawtuatakii tanzania mazuri na hatuamini. Vipi tena video zao!! :mad::mad:Anyway HAMNA Rona Tanzania, mapavu ndio kubanika from time to time!! hapo ndio changamoto ya upumuaji inatatiza kidogo tu!! :rolleyes: :p :rolleyes: :p
The Internet never forgets....
nyani ni wale wale tu, msitu ndio tofauti :p :rolleyes: :p :rolleyes:
Tundu Antiphas Lissu
@TunduALissu
Hundreds, possibly more, died when the Denier in Chief and fellow ministers led thousands to forgo medical treatment for the magic concoctions of Babu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.