Search results

  1. waltham

    Rostam Aziz amezuiwa kuuza gesi yake Kenya kwa sababu ya mazingira

    Hapa kenya wamejaa omba omba toka Tanzania. Wanapiga mhela mjini Na vijijini.
  2. waltham

    Wakenya waanza kufurika kwenye mipaka ya Tanzania,ni sintofahamu ya tarehe 26.

    Mbona omba omba toka Tanzania wapo Mtaani tu wanapiga mhela hapa kenya! Uvumi, umbea Na magonjwa ya kiakili Kwa watz ni tishio kubwa bongolala.
  3. waltham

    Nini kilisababisha Mtanzania aende kuteseka kwenye migodi ya Burkina Faso?

    Jibu lipo hapa hapaa Kenya, Ni Nini chanzo cha omba omba Wa Tz waje mpaka vijijini Kenya. Your guess is good as mine..
  4. waltham

    Mtanzania mwenye asili ya Kiarabu ameshinda Nobel Price in Literature

    Huyu ni Mwingereza mwenye asili ya kizanzibari. Walifukuzwa Kwa vita kali Kwa kua waarabu (ubaguzi) miaka ya 1950s. Hakukua Tanzania wakati ule!
  5. waltham

    The BBI Decision, hukumu na hatma ya mswada wa BBI kutolewa leo hii na Mahakama ya Rufaa

    Tanzania wapinzani wapo jela makosa ya kubabikiwa tu, chaguzi iliopita watu wasionahatia waliwekwe jela na wengine kuwauwa kinyama! Kwani tanzania yenye amani na utulivu ya nyerere ipo wapi. Hapo Tz moto wa chini kwa chini unaendelea kuchochewa na serikali yako 😳!
  6. waltham

    Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

    😂 😂 😂 😂 msijali wadau. akili zetu hapa tz tumepekua tukamkabidhi store keeper!! tatizo la kupumua ni corona lakini hatuwezi tukatamka mpaka mfalme wetu akubali kwanza!!
  7. waltham

    Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

    Tanzania sisi ni koloni la waarabu, ila waziri wetu kapotea njia ufaransa na bakuli letu la omba omba.... Aneth Stanley @AnethStanley Huyu anakuwa na akili akiwa abroad tu, akifika Tanzania tu, anavua Barakoa. Halafu anatukana mabeberu, mtaona nyie tulieni, na ndo mtajua kuwa NJAA HUPOFUSHA...
  8. waltham

    Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

    Duh.....Ila sisi tanzania hatuna corona, kubanwa mapavu kiasi tu..... Robert Alai, HSC @RobertAlai Tanzania authorities actually picked a COVID-19 patient and put him in a press conference to prove what point? See the two unprotected medics. Vodoo science is at its peak in TZ.
  9. waltham

    Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

    Tupo imara tanzania. changamoto ya kupumua iwepo isiwepo tupo ngangari! Rona tu ndio hatuna :p :p :):):):)😂😂😂!! Ati mabeberu sie tanzania hatuwafahamu! mnyama gani huyu? Aneth Stanley @AnethStanley Huyu anakuwa na akili akiwa abroad tu, akifika Tanzania tu, anavua Barakoa. Halafu...
  10. waltham

    Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

    Tanzania beberu hatuwamini....niwaongo, wanafuata utajiri wetu, hawatupendi, chanjo zao ni Hatari na barakoa zao zimebeba virusi 🦠 . Ziwesi msikiza mie. Pili Tanzania hamna rona ni changamoto ya nimonia ya kawaida tu maombi yetu ya siku tatu kwa mpigo inatosha😳!
  11. waltham

    Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

    MMMMM....japo sijamkiza wenzako kwa video, lakini mabeberu sihawtuatakii tanzania mazuri na hatuamini. Vipi tena video zao!! :mad::mad:Anyway HAMNA Rona Tanzania, mapavu ndio kubanika from time to time!! hapo ndio changamoto ya upumuaji inatatiza kidogo tu!! :rolleyes: :p :rolleyes: :p
  12. waltham

    Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

    The Internet never forgets.... nyani ni wale wale tu, msitu ndio tofauti :p :rolleyes: :p :rolleyes: Tundu Antiphas Lissu @TunduALissu Hundreds, possibly more, died when the Denier in Chief and fellow ministers led thousands to forgo medical treatment for the magic concoctions of Babu wa...
  13. waltham

    Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

    RONA HAMNA TANZANIA....wasi wasi wanini........bora tupumue bila changamoto yoyote
  14. waltham

    Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

    The beauty of data, numbers don't lie. Kenya kuna data kwa hivyo utajua rono uandeleaje mtaani. Tanzania hamna rona kwani hamna kupima kwa hivyo hamna data!!! :p na maombi tangu mwaka jana imetokomeza rono baharini!!! :rolleyes: :rolleyes: :rolleyes: :rolleyes:
  15. waltham

    Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

    Tanzania hamna rona bwana. kwani uzipotangaza habari kuna mtu atazifahama. Hamna au zio. mficha uchi kwani uzaa, la au vipi! Kenya wana kimbembele cha kutangaza covid data zao. ...Tz hali halisi imo kwenu changamoto ya kupumua. hapa chini kwa video watu wapo starehe kwa basi.....upumuaji upo...
  16. waltham

    Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

    Hamna rona tz, nichangamoto ya kupungua hewa kwa mapavu.......changamoto..........
  17. waltham

    Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

    Changamoto ile ile, upumuaji ndio shinda! Hamna rona Tz😳!
Back
Top Bottom