Recent content by Wakuti

  1. W

    Sakata la Makonda lachukua sura mpya, Mameya na Madiwani kutoshirikiana na RC

    Makonda pekee ndiye mwenye uwezo wa kujisafisha hivyo funga domo lako. Mimi nakubali jina langu la tatu ni la babu yangu na la pili la baba ila la kwanza langu tatizo nini? Bila shaka utakuwa mtoto wa kunyonya ziwa la mama.
  2. W

    Sakata la Makonda lachukua sura mpya, Mameya na Madiwani kutoshirikiana na RC

    Kosa hapa si yeye kuteuliwa au aliyemteua. Kosa ni kutumia vyeti vya mtu mwingine ili afanikishe ndoto zake kitu ambacho mheshiwa Rais alikipinga sana na sisi sote tukamuelewa bila kujali tofauti zetu za kisiasa. Wengi walifukuzwa kazi baada ya kuhakiki vyeti vyao. Sheria msumeno ukata huku na...
  3. W

    Maswali 3 au 4 ya Ugomvi: Kwa Wanaomlilia Maalim Seif...

    Swali naamba 4 ni la msingi sana maana jana nilijiuliza mara kumi kumi bila kupata majibu. Inavyoonekana ukawa inacheza na akili wanachama wao huku viongozi wakimtambua Magufuli
  4. W

    UKAWA wabadili gia angani, Rais Magufuli kutohutubia bunge

    Ni bora Ukawa ikaaachia wabunge ake wafanye kazi waliyotumwa na wananchi na sio kufanya kazi ya chama maana wabunge wao wamechaguliwa na wananchi alipoona anaweza kuwapigania shida zao. Hivyo basi kunauwezwekano wakawa wamepata kura za wanachama a CCM pia sasa watajisikiaje wakiona waliyemuamini...
  5. W

    Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

    Mauaji yanatokea sehemu nyingi tu na tunaona wapo watu wamehukumiwa kwa mahuaji na wengine kunyongwa sasa kwani nini hili Jeshi linaanza kushutumiwa ? Tuliache lifanye kazi yake hata kama lipo chini ya serikali ya CCM si ndio demokrasia hiyo siku CDM ikiwa madarakani jeshi pia litaheshimu...
  6. W

    Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

    Huyu Lema anatakiwa apimwe akili anaweza kuwa na tatizo hivi anawezaje kuchochea fujo kiasi hiki kwa sababu tu kafiwa na mwanachama wake. Hivyo vita avianzishe ndani ya familia yake sisi atuache na imani na kudumaa kwetu RIP marehemu
  7. W

    Lowassa/Zitto Kabwe wapeleka kilio CCM

    Unafurahia kulipa kodi ndogo ? hivi Halmashauri zitajiaendeshaje?
  8. W

    Dkt. Kikwete na Mkewe, Waondoka rasmi Ikulu na Kuelekea Msoga

    Janjaweed sasa naona ujanja umekuzidi utakombwa muda wowote. kubali tu JK alikuwa rais wa watz hivyo heshimu maamuzi ya wengi ndio democrasia.
  9. W

    Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    hakuna katibu mkuu wa serikali ya JK bali wapo wa JMT tu. Kwa faida yako makatibu sio wanasiasa na nafasi zao hazitokani na siasa kama mawaziri wao ni watendaji wa kuu wa serikali. Hata kama ukawa wangeshinda angeendelea kubaki madarakani mpk pale taratibu za utumishi wa umma zitakapo fuatwa mf...
  10. W

    Rais Kikwete atangaza Novemba 5, 2015, kuwa siku ya mapumziko

    Wanaopinga ni wale wa upande wa pili ila ni vizuri kukubali demokrasia ifanye kazi wengi wape hivyo sote tumuunge mkono rais Magufuli. Tukio la kuapishwa rais ufanyika mara moja kila baada miaka 5 sasa tatizo nini ? Tumieni huo muda kwenda kuudhuria sherehe hizo adimu
  11. W

    Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Ushauri nzuri sana kwa chadema lakini lugha yako inatia shaka utanzania wako. Lugha hii ni kiswahili cha Burundi
  12. W

    CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

    Dr Slaa watamkumbuka sana na ninavyomjua yule mzee hawezi kwenda tena Chadema labda kwa Zitto. Sijui watakuja na operation gani mwaka huu? Pengine operation Ng'ombe itakayoanzaia Monduli
  13. W

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Nimeshtuka sana sina la kusema ni kumuachia mungu. Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
  14. W

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Huyu Gwajima ni msanii sana hivi kaona hatuna akili?
  15. W

    Kazi Kweli Kweli: Nani Amebadilika - Lowassa, Mimi au Wewe?

    Wenye akili watabaki na akili zao na wenzangu na mie sukuma sukuma wataendelea kusukuma lau kama mngejua hatari ya chadema kufa baada ya uchaguzi sijui kama mngemkaribisha huyu Lowasa. Hizi Chadema bila ya operation zake za kupinga ufisadi ingekuwa hapa? jibu hapana kingekuwa chama cha tatu kwa...
Back
Top Bottom