Recent content by Wakufulia

  1. W

    Bilioni 2 ...Zatumika kuwapeleka Training wanafunz wawili...Kudadadadadadki....Hii Ndo Tanzania

    Hivi kweli ww Kama kiongozi mwenye Mapenzi mema na Nchi yako na Kizazi kijacho Unaweza kufanya Madudu kama hayo kweli...Unapitisha hela ya Mwananchi wa kawaida na Kuibariki kutumika kijinga namna hiyo Kweli.............................
  2. W

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    cunisaidie mm hiyo chat jombaaa cause mm nahangaika kinoma ..nakalibia mwaka sasa mke wangu bado ajapata mimba so nisaidie bana
  3. W

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    So mwanamke anajuaje kama mzunguko wake ni 28 cause mm mke wangu hedhi yake huwa ni kuanzia tareh 15 so dats meanz yake inachukua muda gani. Pls help me to knw it.
  4. W

    Kikwete ajisafisha Dowans

    Hiv kaka kweli hii Nchi inarais au kituko...unajua katika marais wote waliopita huyu tulienae sasa ajielewi na wala ajitambu,,sasa kama ww ndo rais wa nchi na mwenye zamani unawezaji kutamka maneno kama hayo mbele ya kadamnasi....yaani mpaka hapo inaonekana jamaa ana maamuzi yalio sahihi..na...
Back
Top Bottom