Kama una iman nawe kumbuka hata ibra alijaribiwa ndo mana anaitwa baba wa iman.shetan nae alipata ruksa kutoka kwa mungu ili amjaribu ayoubu hata shetan alimjaribu yesu
Wakati mwngne ss wanaume tuna makosa,ila lawama tunawapa wanawake.tumejijengea mfumo dume,kuna jamaa alikuwa anamwibia mke wake pesa anaenda kulewea mwanamke kamkimbia ila lawama zimeenda
Tafuta magome ya mti wa mwembe yatwange kwenye kinu uwe unga kisha chemsha mpaka yachemke afu ipua weka kwenye chupa uwe unapigia nayo mswaki na kusukutulia nayo hakika utapona kabsa.nakupa onyo kama unaumwa jino la juu ucje kuling"oa mana utaatarisha maisha yako kwani mishipa ya fahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.