Recent content by Vadgama

  1. V

    USHAURI: Bado sijaoa, nimeasili watoto wawili kutoka kituo cha kulelea Watoto Yatima bila kutarajia napata changamoto kubwa ya maneno kutoka kwa ndugu

    Nadhani kafany busara sana, majukumu yataongezeka kwa watoto wake wote....maana hakuna tofauti wote ni watoto wake iwe wa kuzaa...bilogical...au wa kuwaasili..adopted....wote ni sawa....hawatofautishiki....ni watoto wake....
  2. V

    Ip njia salama za kuifadhi vyeti kama naenda kutafuta maisha nje

    Asubiri Angola wakitowa viza zao, aendee kule bado kutakuwa na possibilities.....may b
  3. V

    Hivi ni kwamba Canada hawatoi VISA siku hizi au tatizo ni nini?

    Kweli asemacho ndugu yangu. Yametukuta
  4. V

    Wives are Legends!

    Thanks guys...nimecheka! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. V

    Viatu vya kiume Vinapatikana

    Mkuu nimekuelewa......nin kinakufanya udhani havilingani kwa bei? Uhuru ni wake kuweka bei...wewe kama mteja usinunuwe.... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. V

    Viatu vya kiume Vinapatikana

    Mkuu, ameshasema bei 100k mpaka 150k! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. V

    Msaada: Mashine gani nzuri ya kufulia nguo?

    LG 13kg au Samsung's Sent using Jamii Forums mobile app
  8. V

    Nakshi nyumba yako na Tanga stone

    Very good work! Nafurahi inatoka hapo. Huku tunaletewa from RSA...kwa sq m! Hongera sana
  9. V

    Kweli Obama ni muungwana, cheki alichokifanya leo

    Inawezekana uelewa wangu mdogo....hapa tunaongelea specific event.....ya kumpa lift BILL. Hicho tu mkuu mambo mengine yapo out of topic!
  10. V

    Kweli Obama ni muungwana, cheki alichokifanya leo

    Wewe kweli mbaazi! Yaani kwakuwa wamarekani wanamtusi sis pia tufanye wafanyavyo.....kweli duniani kuna.....
  11. V

    Angellife style

    nimefungua nakidhani ni Trevor ...RSA comedian! kula .... "" kama virutubisho hivo navipata kwenye vyakula hapa bongo. mbogamboga,matunda,viazi, mihogo, mlonge,vitunguu swahumu,tangawizi,mdalasini,as ali,kunde zote . vyote vinapatikana bongo e.t.c" by N Prosper
Back
Top Bottom