Recent content by UZZI MATERIAL

  1. UZZI MATERIAL

    Gari nzima inauzwa very cheap

    Carina cc 2000 no A,asee ni hatr san iyo kitu,ssa muuzaji kasifia ila kuna upande wa ushaur pia kua mtubakinunua atapat hasara gan?kwan hata taxi uezi fanya ni kubwa sana..
  2. UZZI MATERIAL

    Kikwete unamuogopa Mwakyembe

    Asee,mwakyembe ni mbunge wangu na mbaya zaidi ni jirani yangu nyumba ya tatu toka kwao ikolo kwa mama yake njia ya kwenda ngonga,hii n kwa faida ya wadau humu kule hakana alichofanya,kna manomba ya maji kila baada ya nyumba kumi yalijengengwa na wananchi miaka thelathini iliyopita kwa hisani ya...
  3. UZZI MATERIAL

    Kwanini Rais Kikwete anabadilisha sana Bodyguard?

    Alafu kwa msaada kua kna kikomo cha cheo mpambe wa raisi mwisho wake n luten canal akipanda cheo bas mwngne huteuliwa
  4. UZZI MATERIAL

    Mkakati wa CHADEMA wa kuvihujumu vyama washirika wa UKAWA huu hapa

    Umejuaje hot lady kam huy n mkaka koz ujumbe wake kam msichana vile afu mdogo
  5. UZZI MATERIAL

    Mkakati wa CHADEMA wa kuvihujumu vyama washirika wa UKAWA huu hapa

    Ila kwa mtazamo wang wadau swala la kujiunga na kua kitu kmoja kweny siasa hasa kwa vyama sio baya lina mlengo mzur ila pia fafsr yake ni udongo na udhaifu wa chama na chama,kw upande mwnngne ukija kweny lengo la chama n kushka dora na kuimarsha chama na si vngnevyo ssa hii hali ya udugu wa...
  6. UZZI MATERIAL

    Dk. Bana ataka kugombea ubunge kupitia CHADEMA

    Dr bana mara nying amekua akituhumiwa kw kufata matakw ya viongz hasa wa cham tawala,asitafute kujiweka safe side apinge hoja avunje hoja na tuhuma afu arudshe kw slaa majib nd tutaona kakomaa Kisiasa.
  7. UZZI MATERIAL

    Toyota Raum (Nyeusi) inauzwa

    Raum ziko poa,kwa ushaur bas inakula wese kias gan kwa kilomita ngap?ilo la msng pia
  8. UZZI MATERIAL

    Sitti Mtemvu kuvua taji la Temeke, chang'ombe

    Nna waswas na akili na mawazo yako,ujui kua maswal ya talents yanaenda mbali na huy mdada angeanza kutafuna rasilmali na muda wa qa tz bila sabbu cz wanapewa platform ya kutosha kam rollmodals,yapasa kumwajibsha cz n bayan hana mvuto na sifa ya kua kioo,kaz ya miss bada ya hapo ni za jamii ssa...
  9. UZZI MATERIAL

    Suzuki Carry Inauzwa

    Sawaa lady ila ingekuwa vzr wwe ungejivisha uhuska afu ss tuchek na ww kwanz kw kujirdhsha zaidi.
  10. UZZI MATERIAL

    Suzuki Carry Inauzwa

    Ok,uhusiano wa mtoa hbr na iyo gar n upii?maana kajitoa kbsa as if jiran hajamtuma!!me nataka wwe nd ue cnnector ili kuondoa sintofaham,we c dalali?
  11. UZZI MATERIAL

    Hata sisi wanaume wafupi hatupendi wanawake wafupi

    Ok,mada imeleweka bt nahs imegusa hisia za wengi humu,nmepata picha kuna wanaume wafupi sana humu,ol n ol chek na mtu mtakaendana vzr no mattr wat?
  12. UZZI MATERIAL

    Wataalamu wa mathematics msaada

    Nasolve hizi mamb kw anaetaka msaada wa kweli ani PM..
  13. UZZI MATERIAL

    Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania 2014, Lilian Kamazima amrithi!

    Sio hiar yake n kwamba yale madai karbu yote ya watanzania timamu wapenda maendeleo ya kweli n kua sahihi afu mtu mwenywe ananenepeana kila kukicha yaonesha dhahr shair kua n mzaz kabsaa..
  14. UZZI MATERIAL

    Natafuta kiwanja Kinyerezi....bajeti Tshs Mil 3 tafadhali pm kwa mwenye nacho.

    Kama upo sirious ongeza mill 2 m ntakusadia ta changu ntakumegea
Back
Top Bottom