Habari wanajamii forum!
Mimi ni binti wa miaka 27.Tatizo langu ni siku zangu za hedhi.Mwanzo sikuwa na tatizo la kupata siku zangu lakini mwezi uliopita sijaelewa nimepatwa na tatizo gani.Ilikuwa nianze kupata period tarehe 23/06 lkn nikaanza tarehe 22/06.Sasa tatizo ni kwamba damu inayotoka...
Interview yoyote ile ili kuleta ushindani,msailiwa akiwa mmoja hawezi kupatiwa nafasi hiyo.Ni lazima itangazwe upya.Sasa kama kuna mtu aliajiriwa na hakuwa interviewed au haikutangazwa tena hayo ni mambo mengine.
Hivi wewe ni mvivu kufikiri au niamini unajibembeleza kwa JK ili upate cheo kabla hajaondoka pale magogoni?Udhaifu alionao JK na uupuzi wa serikali ya CCM unaoneka hata kwenye giza tororo la saa nane usiku bila hata kutumia darubini!
Mimi sitaki kuamini hilo kabisaaaa!Kuna watu wanapata kazi bila kufahamiana na mtu wala kuwa na cha njano kupitia taasisi hiyo.Nafikiri mimi(Bado ni nasaka job) na wewe tujipange tu upya,tutapata tu siku moja hizo nafasi na sisi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.