Ni tatizo gani la afya?

uwiii

Member
Jun 25, 2012
14
4
Habari wanajamii forum!

Mimi ni binti wa miaka 27.Tatizo langu ni siku zangu za hedhi.Mwanzo sikuwa na tatizo la kupata siku zangu lakini mwezi uliopita sijaelewa nimepatwa na tatizo gani.Ilikuwa nianze kupata period tarehe 23/06 lkn nikaanza tarehe 22/06.Sasa tatizo ni kwamba damu inayotoka ni kidogo sana ,tofauti na siku nyingine.Damu imekuwa ikitoka matone 2/3 kwa siku na imefanya hivyo kwa siku 10.

Je inaweza kuwa ni tatizo gani?Msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom